labda ningeelewa maana ya maisha kwanza ndio tuendelee
Maisha yanabadilika kwa kasi sana na sasa hivi hivyo ulivyotaja kweli vinaonekana ni mshangao ila mimi sishangai kwani hata huu uzi ulikuwa posted April 2010....Miaka 5 mizuri ishapita kwa kipindi ile ilikuwa ipo kweye chartsanduku la posta dizaini imekuwa outdated
hivi kuna watu bado wanaenda cafe kweli, dah modem mbona za kumwaga unaweka bando ya mwezi jamani dah.
Unaweza ukawa na nyumba lakini inavuja,
Unaweza ukawa na account ya bank salio halisomi kabisaaa,
Unaweza ukawa na cmu ukawa unaishia kubip,
Unaweza ukawa na mke/mme ukaishia kumegwa/kumega nje,
Unaweza ukawa na laptop nyumba unayo ishi haina umeme,
Unaweza ukawa na sanduku la posta usipate barua hata moja kwa mwaka mzima,
Unaweza ukawa na e-mail lakini huna pesa ya kwendea c@fe
Kumbe mimi nilikuwa najidanganya....Vingi vya ulivyotaja navisikia tu.
Kufanikiwa kimaisha ni kuwa na furaha moyoni muda wa uhai wako wote hata kama huna hivyo ulivyotaja hapo juu.
huelewi?
Mimi Nina zaidi ya hayo.
Nina mashine ya telex, Nina typewriter, nina accordion Nina friji ya mafuta ya taa, pasi ya mafuta ya taa na pia natumia mafuta ya AYu na Yolanda, perfume ya cobra, na nguo zangu zinetengenezwa kwa material ya kimplini
Rafiki yangu mmoja amedikoza kuwa iliwahi kujadiliwa katika JF kuwa mtu mwenye mafanikio katika maisha ni lazima awe na vitu hivi.
Nyumba,Usafiri,Account ya bank,simu ya mkononi,mke/mme,laptop,sanduku la posta na e mail
Kwamba kama unakosa kimojawapo hujafanikiwa kimaisha.
Je mnakubalina na hoja hizo.
Mimi Nina zaidi ya hayo.
Nina mashine ya telex, Nina typewriter, nina accordion Nina friji ya mafuta ya taa, pasi ya mafuta ya taa na pia natumia mafuta ya AYu na Yolanda, perfume ya cobra, na nguo zangu zinetengenezwa kwa material ya kimplini