Hivi mtoto wa dada kawe kapita ama kichujiooo kimempitiaaa

Hivi mtoto wa dada kawe kapita ama kichujiooo kimempitiaaa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,865
Sijaangalia list ya kawe

Kwa anaejua jamani mtoto wa dadaa kapita ama msibaa umemuangukiaaa??

Kama kachinjwaaaa naagiza keki kwa ajili ya wajumbee

Oyeeee
 
Back
Top Bottom