Hivi mtoto akichaguliwa shule teule anakuwa boarding au day?

Kwa hapa dar es salaam shule teule ni kama azania, jangwani,zanaki n.k. kwa kifupi zipo teule ni bweni na kutwa. Kama ameandikiwa shule teule basi cha msingi ni kujua tu hyo shule ni ya bweni au kutwa. Kuhusu malipo ni kama shule nyingine zote za serikali. Hakuna extra cost kwa sababu ni teule.

Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
 
Shule ya serikal ada ya bwen n tsh 75k

Sasa hii 600k hyu kaitoa wapi ?

Leta ufafanuzi ueleweke vinginevyo wewe utakuwa tapeli
 
Labda hizo anazosemea ni shule za day Ila Zina hostel, hivyo huyo laki 6 ni chakula, umeme na maji. Shule nyingi za day siku hiz wameanzisha hostel Kama mradi

Sasa hyo s shule ya bweni n mrad wa mtu au Watu

Shule ya bwen ya serikal n ile serikal hutoa fungu kwa ajil ya chakula
 
Zipo nyingi tu kiongozi
Kama amejipanga mpe mawasiliano yangu
Kuna shule hiz
Mkuu sec
Tarakea sec
Lyakrim sec etc zote ada ni 600000 per year
Hizi sio shule za serikali, zitakuwa private.

Shule zote za bweni za serikali kwa upande wa o level hakuna malipo yoyote, hata ada hawalipi.

Upande wa A Level ndio wanalipa 70k kwa mwaka.

Sasa hiyo laki 6 inahitaji clarifications, la sivyo mpaka sasa wewe upo kundi la matapeli.

Unforgettable
 
Mm sina upigaji wowote mbona nilishawasaidia watu weng tu
Humu humu hawanijui siwajui but wananiamini
Nakutumia joining instruction ya shule husika
Unafanya depositing ya at least 200k kwenye account ya shule kwa ajili ya kusecure hiyo nafasi
Then unanitoa na mim changu

Kwamba unatuma joining instructions ya shule husika?

Kisha from nowhere mtu a-deposit 200k kusecure nafasi?

Kwa wanaowajua matapeli mpaka hapo washajua kinachofuata ni kuambiwa "Bahati mbaya nafasi haikupatikana, ama kuna mwenzio alitoa laki 8 hivyo wewe wa laki 2 umeshindwa".

Uhamisho wa shule za serikali haunaga longolongo, kama nafasi ipo unapewa joining instructions, unanunua mahitaji yanayotakiwa, kama kuna michango na ada unalipa bank kisha unampeleka mwanao shule kwenda kupiga shule.

Unforgettable
 
Zipo shule teule hapa dsm
Mfano

Kibasila

Azania

Benjamin

Dsm sec

Chang'ombe

ZANAKI

Jangwani

Hiz zote n shule za day hazina bweni taratibu zao n Kama za serikal

Hiz shuke zile za ufaulu wa nne kutoka vipaji ufundi bwen kitaifa ndio zinakuja hizi

Kumbuka ufaulu wa tano ndio hizi za kata kifup mtoto akipangiwa hiz shule nne tajwa just kwamba ufaulu wao n watofaut na Hawa wa kata hvyo Kuna unafuu kidogo kuwa atakutana na wenzake wenye uafadhar darasan na hvyo ushindan wa kimasomo kuwa mkubwa Zaid

Kuhusu michango Kama alivyosema mdau hapo juu s kweli labda shule nyingine huko mikoani kwa hapa mjin hakuna michango

Nina experience sababu nasomesha watoto ZANAKI SEC NA AZANIA SEC

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Siku hizi hamna ufaulu wa ngapi wala ngapi....

Shule za vipaji maalumu zinachukua wanafunzi wachache sana, na wanaopelekwa kwenye hizo shule ni wachache sana, kwenye wilaya wanaweza kutoka wanafunzi 5-10 na wanakuwa wale wenye ufaulu mzuri haswaaa.

Waliobaki wanapangiwa shule za humohumo kata ama tarafa ama wilaya ama mkoa husika. Sio kwamba ufaulu wao unakuwa mbaya? Hapana, ni mzuri ila wote hawawezi kwenda shule maalumu.

Huu utaratibu ulianza mwaka 2005, shule za kata zililalamika kwamba wao huwa wanapelekewa wanafunzi vilaza, wale vipanga wanapelekwa shule maalumu, mwisho wa siku wakifelisha wanaonekana hawafanyi kazi kumbe sababu ni wanafunzi wenyewe ni vihiyo.

Ndipo sasa wanafunzi wengi wazuri wakaanza kubakishwa kwenye kata ama wilaya husika. Mimi na wenzangu kadhaa ilitukuta hii, pamoja na kupasua sana la saba lakini tulibakishwa shule za kata.

Unforgettable
 
Mm sina upigaji wowote mbona nilishawasaidia watu weng tu
Humu humu hawanijui siwajui but wananiamini
Nakutumia joining instruction ya shule husika
Unafanya depositing ya at least 200k kwenye account ya shule kwa ajili ya kusecure hiyo nafasi
Then unanitoa na mim changu
Hebu tuondolee utapeli wako hapa
 
Hapana mkuu kwa hili natofautiana na wewe

Serikali kupitia katibu mkuu mtendaji wa necta alifafanua hili vizuri juu ya upangaji wa wanafunz kujiunga kidato Cha kwanza

Mtiririko upo hivi

Vipaji maalum ....Hawa n wale wenye ufaulu wa juu Zaid

Bweni ufundi.. Hawa n wale wenye ufaulu wa pili baada ya vipaji maalumu

Bweni kitaifa ... Hawa n wa 3 kiufaulu baada ya bwen ufundi

Shule teule ..hizi Mara nyingi wanafunz wake huwa ndan ya wilaya au mkoa husika na ufaulu wao huwa n wa nne baada ya ya bwen taifa baadh ya mikoa au wilaya shule hiz wamejenga mabweni mfano jokate sec school kisarawe ina bweni mbinga girls sec school mbinga ina bweni lakn wanaopelekwa pale n wale wanaotoka katka shule za wilaya au mkoa husika

Shule za kata ... Hawa ndio wenye ufaulu wa mwisho lakn haimaanishi kuwa wanaopelekwa hapa hawatoboi kwenda advance au vyuo vya kat hapana ila ufaulu wao wa std 7 ndio umewafanya wawe hapo shuleni

Nadhan umeelewa na hata uoangaj mwaka huu BARAZA LA MITIHANI NDIO WAKLIOPANGA MACHAGUO
 
Kama unahitaji mwanao ahamie shule za bweni zilizopo Kilimanjaro wasiliana na mm
Shart
Awe amefaulu na kupangiwa form one shule za serekali 2022

Hata kama ni kuhamia vidato vingine

Wasiliana na mim tuangalie jinsi ya kukusaidia

Call,text& WhatsApp 0764616353
Naomba nikupe vocha kisha tuongee.
 
Mm sina upigaji wowote mbona nilishawasaidia watu weng tu
Humu humu hawanijui siwajui but wananiamini
Nakutumia joining instruction ya shule husika
Unafanya depositing ya at least 200k kwenye account ya shule kwa ajili ya kusecure hiyo nafasi
Then unanitoa na mim changu
Upewe chako na mzazi au uongozi wa shule?
Acha wizi wa kishamba dogo
 
Kwamba unatuma joining instructions ya shule husika?

Kisha from nowhere mtu a-deposit 200k kusecure nafasi?

Kwa wanaowajua matapeli mpaka hapo washajua kinachofuata ni kuambiwa "Bahati mbaya nafasi haikupatikana, ama kuna mwenzio alitoa laki 8 hivyo wewe wa laki 2 umeshindwa".

Uhamisho wa shule za serikali haunaga longolongo, kama nafasi ipo unapewa joining instructions, unanunua mahitaji yanayotakiwa, kama kuna michango na ada unalipa bank kisha unampeleka mwanao shule kwenda kupiga shule.

Unforgettable
Mkuu ipo hiv

Unakuta Ww mwanao amechaguliwa kusoma shule za day za kawaida ila Ww ungependa mwanao asome shule za boarding za serekali
Mm nachokifanya ni kukutafutia nafasi kwenye hizo shule zenye hostel huku moshi na Ww ndio unanitoa mzazi

Kama Ww sio mwenyeji wa moshi huwezi kuzijua hiz shule za serekali zenye hostel sababu hazitangazwi

Mm unanilipa kwa kukutafutia nafasi kwenye hizo shule tu sina utapeli wowote

Hiyo hapo chini ni sample ya hostel kwa mwanafunzi niliyemtafutia shule yenye hostel huku moshi,
January 2022 atakuja na nitampokea mm mwenywe na kumpeleka shule husika
JPEG_20211220_152606_206851365.jpg
 
Back
Top Bottom