Hivi msichana wa uswazi anafananaje?

Hivi msichana wa uswazi anafananaje?

Amavubi.. uswazi hata pikipiki haiwezi kufika.. huko uswazi chumba kimoja ndiyo sebule, store, bafu, choo, n.k,
 
Last edited by a moderator:
Amavubi.. uswazi hata pikipiki haiwezi kufika.. huko uswazi chumba kimoja ndiyo sebule, store, bafu, choo, n.k,

Inaitwa self contained room! Jiko hapo hapo sebule makochi kitanda store dining room mapenzi hapo cha chapo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom