Hivi msichana wa namna hii utamwelewaje?

Tetete..! Kama mepesi yanakushinda' magumu utayawezea wapi?

Na kwahali hii kama huyo binti anajitambua haumpati ng'oo!!

Utawapata wenzako wasiojitambua mnaosoma wote Harvard.

ushauri mwingne kama unao?
 
PERy na Zyamwelele
===>Sitaki kukulaumu hasa jinsi ulivyoandika ila siku nyingine jitahidi kuandika vizuri kidogo!

hili ni jukwaa la mapenzi na sio jukwaa la mwandiko,kikubwa ni kwamba ujumbe umeeleweka kwa wasomaji.
 
Last edited by a moderator:
we ni king'ang'anizi inaonesha mana binti ashakwambia hataki na muwe marafiki, sasa wewe unataka utumie advantage ya urafiki wenu kulazimisha mapenzi. Respect her decision ndugu, na mapenzi hayalazimishwi katu.
 
Soma we dogo, utatoka hapo chuo na 'PASS' halafu urudi tena hapa jukwaani kulialia ooh ajira ngumu, the future belongs to those who prepare for it today. Kumbuka bado una safari ndefu, hiyo ni Certificate, bado Diploma na Degree, na familia inakutegemea kule kijijini Simiyu.
 
kwani bila kung'ang'ania nitampataje mkuu?maana me sio handsome,wala sina akili nyingi kivile na wala sina pesa za kusema watoto wa kike watajileta wenyewe!
 
jey key ana PASS,ila leo ni raisi wako wewe mwenye first class.
 
Naanza kujiuliza huko chuo ni namna gani unayaelewa masomo kama umeshindwa kumuelewa huyu dada

Nadhani ungeanza kujishangaa wewe kwanza kwa kushindwa kuelewa jambo rahisi kama hili

Nimeshindwa kuelewa ni kitu gani kimekufanya uje hapa na kuandika huu uzi

Kwanza cha ajabu kuliko ni kitendo cha wewe kusema eti "ni yeye aliyesababisha nimpige sound"

Na kilichosababisha ni yeye kukusalimia

Hivi kusalimia mtu siku hizi ni ishara ya kutaka kutongozwa?

Enyi dada zangu naombeni kuanzia leo muache kuwasalimia hawa watoto

Mtakuja kutongozwa kwa kuponzwa na salam tu!
 
kwani bila kung'ang'ania nitampataje mkuu?maana me sio handsome,wala sina akili nyingi kivile na wala sina pesa za kusema watoto wa kike watajileta wenyewe!

kwani lazima umpate huyo?, kwa maana hiyo wewe ni mjinga! Ndio maana huelewi hata unayoshauriwa. Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Wakuu,kuna jambo linanitatza..kuna binti mmoja namfukuzia hapa chuo,huyu binti niseme tu kuwa yeye ndie aliyechochea hadi mie kuanza kumfukuzia kwa sababu kabla ya yote nilikua namchukulia kama binti wa kawaida tu ambapo tulikua tunaweza tukapishana mahali hata bila kusemeshana wala kusalimiana,sasa ilitokea tukawa tumepangwa seminar moja{kwa wale mliopitia vyuo vikuu mtakua mnanielewa}tangu hapo akawa kila nikikutana nae njiani ananisalimia fresh tu,asa me nikaona nijaribu kumpiga sound kama kujaribu bahati yangu tu,kuna siku nikakutana nae angle flani tukiwa tunasubiri kipindi,nikamwomba number zake,nae bila hiyana akanipa,tukawa tumekubaliana kuwa jioni ya siku hiyo mara baada ya muda wa masomo kuisha nitamtafuta tukutane mahali,well,muda ulivofika nikamcoll kumkumbushia kuhusu miadi yetu,alipokuja nikampiga sound nae akawa amenielewa,lakin akawa ananiambia kua,yeye hana mtu but vile vile haitaji kuwa na mtu tena kwa sasa,katika kutaka kumdadis zaidi,akawa mkali,me nkaona isiwe tabu,nikamwambia basi ka vipi tuwe marafiki wa kawaida tu,sasa tangu pale huyu mmanzi ananishangaza,nikimpigia cmu anapokea na kuongea vizuri tu,nikimwambia tuonane muda wowote yuko tayari but nikimkumbushia ombi langu anabadilika na kusema tuyaache hayo coz moyo wake haujaamua kumpenda mwanaume yeyote tena..nikimtext message zinazohusu mambo mengne ya kimaisha anajibu ila zile zinazohusu mapenzi huwa hajibu..ebu wakuu nisaidieni kumdadavua huyu binti,kwamba ni binti wa namna gani na anaitaji kufanyiwa kitu gani ili kuweza kuwin her heart?
Staki na nataka we komaa tu ... ili asikukwepe kumbushia Mara moja moja siku nyingine zote mchukulie kawaida dumisha urafiki tu atajaa mwenyewe, nshafanya hvo nna maexperience nao Guess What nilikuja kumuoa
 
Naanza kujiuliza huko chuo ni namna gani unayaelewa masomo kama umeshindwa kumuelewa huyu dada

Nadhani ungeanza kujishangaa wewe kwanza kwa kushindwa kuelewa jambo rahisi kama hili

Nimeshindwa kuelewa ni kitu gani kimekufanya uje hapa na kuandika huu uzi

Kwanza cha ajabu kuliko ni kitendo cha wewe kusema eti "ni yeye aliyesababisha nimpige sound"

Na kilichosababisha ni yeye kukusalimia

Hivi kusalimia mtu siku hizi ni ishara ya kutaka kutongozwa?

Enyi dada zangu naombeni kuanzia leo muache kuwasalimia hawa watoto

Mtakuja kutongozwa kwa kuponzwa na salam tu!

well said mkuu, huyu mtoa mada atakua ana matatizo binafsi ya ugumu wa kuelewa na wepesi wa kusahau. Kama salama kutoka kwa wanawake hata mimi nazipata lakini haifanyi iwe kigezo cha kuwatongoza katu.
 
Tutakuwa tunakuja na viboko JF ili wawe wanatuelewa vizuri!!
 
Naanza kujiuliza huko chuo ni namna gani unayaelewa masomo kama umeshindwa kumuelewa huyu dada

Nadhani ungeanza kujishangaa wewe kwanza kwa kushindwa kuelewa jambo rahisi kama hili

Nimeshindwa kuelewa ni kitu gani kimekufanya uje hapa na kuandika huu uzi

Kwanza cha ajabu kuliko ni kitendo cha wewe kusema eti "ni yeye aliyesababisha nimpige sound"

Na kilichosababisha ni yeye kukusalimia

Hivi kusalimia mtu siku hizi ni ishara ya kutaka kutongozwa?

Enyi dada zangu naombeni kuanzia leo muache kuwasalimia hawa watoto

Mtakuja kutongozwa kwa kuponzwa na salam tu!

Hilo neno mkuu.
 
nimesema mwanzo alikua ananipita tu kama hanion,but ghafla akaanza kunisalimia kila akiniona.
 
Kwanza huyo binti hakukuchochea lolote ni tamaa Zako

Pia jifunze kukataliwa
 
Hebi jaribu na kumtumia pesa kwenye Mpesa yake tuone kama atairudisha?jaribu urudishe majibu hapa ili nikushauriiu
 
Back
Top Bottom