mcfm40, unaponda DART kwamba how come milori, mibasi, private cars humo humo! mbona unajikanganya? Lengo la DART ni kwamba usafiri wa jumla utumie barabara zinayojitegemea! ukitumia private car ndo kagombane na malori kwenye common roads! Frm Mbezi kuja Ubungo nd V/S, abiria watatumia DART buses mediam size ambazo ni kubwa zaidi kuliko Coaster! kimsingi, unafuu utakuwa kwa wale wanaotumia public transport ambao ndio wengi na wanaotumia private watakachoepukana nacho ni fujo za daladala, basi!
Last edited by a moderator: