"Hivi Mpenzi Hebu Niambie umenipendea nini mimi"

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,477
Reaction score
21,040
Hbr wanajamii forum kuna uzi mwingine hapa naomba tuu discuss ,hili swali huwa wanauliza sana akina dada
"Hivi Mpenzi Hebu Niambie umenipendea nini mimi"""...Hamna Swali linalonishangazaga kama hili,halafu wadada wanalipenda balaa..Na sijui huwa wanataka tuwajibuje kwa mfano...Je niseme macho...Inye gwedegwede...Miguu yako yenye tege kama Boban..Nywele zako ndefu ama??Mbona mnatuforce tuwe waongo jamani?We Unapendwa inatosha shukuru Mungu unapendwa yaishe..Sasa hayo unayotaka kuchimbua yatakushinda...Upendo wa kweli haunaga sababu...Ukimpenda mtu kwa sababu ya kitu fulani kinachoonekana basi umeshafeli,bado uko kwenye Stage ya Tamaa...Mtu akishavuka akakupenda maana yake amevuka Tamaa maana Hardware muda wowote huwa zinazingua..Nywele zinanyonyoka..Miguu inababuka..Nyonyo zinakuwa sa 12 kama ndala za Umoja akizaa..Lazima kuwe na Inner reason ya yeye kukupenda hata kama Seating Allowance ikija ikapotea huko mbele...Sasa mdada unaambiwa Yaani mi napenda unavyotembea yaani kama Wema kamuona Diamond stejini..Na Dimples zako tu tutazaa watoto wa ukweli sana...Macho yako kama Paka mwenye Usingizi ndo yananimaliza,halafu Ukismile ndo naishiwa nguvu kama kuku mwenye Mdondo...Ukiambiwa unachekelea mwenyewe hadi gego lako lenye jino bovu linaonekana..Unablush hadi vipele vya ukurutu vinakutoka wakati umejibiwa upuuzi Grade 1...
 
heheheheeeeeeeeeeeeee utani karibu na kweli huuuu kwakwaakwaaakwaaaaaa loooh
mwanamke kusifiwa atiiii
 
Wanawake waajabu sana, hata kabla hujamgegenda, lakini ukimsifia kuwa nimependa mnato wako wa kunako, atachekelea na kukupa.
 
kwaniswali la umenipendea nini huwa linalennga kwenye sura,maumbo,inaweza kuwa
hata tabia pia
 
Ukweli ni kwamba huo uchokozi tu na kukosa jambo la kuomgea si unajua mkikaa pamoja muda mnajikuta hamna ya maana ya kuongea utasikia niambie mpenzi....hujakaa niambie mpenzi sasa unajiuliza nimwambie nini kama kukupenda nishakuambia sasa nitakuambia nakumisi akati mmekaa pamoja tehe tehe kwikwikwi
 
Ahaa!ahaa!ahaa!ahaa! Paka mwenye usingizi! Kuku mwenye.... Umehitimisha mkuu! Pita mbele uchukue cheti chako!!!
 
heheheheeeeeeeeeeeeee utani karibu na kweli huuuu kwakwaakwaaakwaaaaaa loooh
mwanamke kusifiwa atiiii

ndo zetu kwa vilaza kama hao,anakusifia usoni moyoni anakuponda
 
Hbr wanajamii forum kuna uzi mwingine hapa naomba tuu discuss ,hili swali huwa wanauliza sana akina dada
"Hivi Mpenzi Hebu Niambie umenipendea nini mimi"""...Hamna Swali linalonishangazaga kama hili,halafu wadada wanalipenda balaa..Na sijui huwa wanataka tuwajibuje kwa mfano...Je niseme macho...Inye gwedegwede...Miguu yako yenye tege kama Boban..Nywele zako ndefu ama??Mbona mnatuforce tuwe waongo jamani?We Unapendwa inatosha shukuru Mungu unapendwa yaishe..Sasa hayo unayotaka kuchimbua yatakushinda...Upendo wa kweli haunaga sababu...Ukimpenda mtu kwa sababu ya kitu fulani kinachoonekana basi umeshafeli,bado uko kwenye Stage ya Tamaa...Mtu akishavuka akakupenda maana yake amevuka Tamaa maana Hardware muda wowote huwa zinazingua..Nywele zinanyonyoka..Miguu inababuka..Nyonyo zinakuwa sa 12 kama ndala za Umoja akizaa..Lazima kuwe na Inner reason ya yeye kukupenda hata kama Seating Allowance ikija ikapotea huko mbele...Sasa mdada unaambiwa Yaani mi napenda unavyotembea yaani kama Wema kamuona Diamond stejini..Na Dimples zako tu tutazaa watoto wa ukweli sana...Macho yako kama Paka mwenye Usingizi ndo yananimaliza,halafu Ukismile ndo naishiwa nguvu kama kuku mwenye Mdondo...Ukiambiwa unachekelea mwenyewe hadi gego lako lenye jino bovu linaonekana..Unablush hadi vipele vya ukurutu vinakutoka wakati umejibiwa upuuzi Grade 1...
Hili swali nilishalipiga marufuku kwa mtani wa jadi kama miaka kumi na mbili iliyopita. Sababu zangu za kumpenda ni confidential.
 
Mnhh.. we sakapal, hata kama kusifiwa ndo uambiwe macho kama paka mwenye usingizi...??? Mhnnn hapo hapana

haahaa! Amenchekeshaje? Yan napata picha ya huyo paka anayesinzia cjui amekaa au kalala kifudifudi tehtehteh watu wanamambo!
 
Mmmmh nalala mimi kweli hii ya leo eti tege kama Boban hahahahahaha
 
Kuna ubaya gani kwenye hilo swali? Kwani wewe hujui umenipendea nini? Asa kwa nini ujishauri kujibu? Kuwa muwazi sema usikike.................. nyie ndo mnacomplicate mambo!! Hebu fikiri ukinambia unanipendea weusi wangu mangala unadhani nitaubadili kwa mkorogo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom