Upendo wa kweli hauna sababu

Upendo wa kweli hauna sababu

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,791
Reaction score
10,415
Hivi Mpenzi Hebu Niambie umenipendea nini mimi"""…Hamna Swali linalonishangazaga kama hili,halafu wadada wanalipenda balaa..Na sijui huwa wanataka tuwajibuje kwa mfano…Je niseme macho…Inye gwedegwede…Miguu yako yenye tege kama Boban..Nywele zako ndefu ama??Mbona mnatuforce tuwe waongo jamani?We Unapendwa inatosha shukuru Mungu unapendwa yaishe..

Sasa hayo unayotaka kuchimbua yatakushinda…Upendo wa kweli haunaga sababu…Ukimpenda mtu kwa sababu ya kitu fulani kinachoonekana basi umeshafeli,bado uko kwenye Stage ya Tamaa…Mtu akishavuka akakupenda maana yake amevuka Tamaa maana Hardware muda wowote huwa zinazingua..Nywele zinanyonyoka..Miguu inababuka..Nyonyo zinakuwa sa 12 kama ndala za Umoja akizaa..Lazima kuwe na Inner reason ya yeye kukupenda hata kama Seating Allowance ikija ikapotea huko mbele…Sasa mdada unaambiwa Yaani mi napenda
unavyotembea yaani kama Zari kamuona Diamond stejini. Sara kamwona Jenerali Kiduta au hudahboss chick kaniona mim..😛 Na Dimples zako tu tutazaa watoto wa ukweli sana…Macho yako kama Paka mwenye Usingizi ndo yananimaliza,halafu Ukismile ndo naishiwa nguvu kama kuku mwenye Mdondo…Ukiambiwa unachekelea mwenyewe hadi gego lako lenye jino bovu linaonekana..Unablush hadi vipele vya ukurutu vinakutoka wakati umejibiwa upuuzi Grade 1…
True Love has no reason
 
Nimesoma vizuri kuelewa sasa ndio Mziki
1 Yohana 4:18
Katika pendo hamna hofu; lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu, kwa maana hofu ina adhabu; na mwenye hofu hakukamilishwa katika pendo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom