Mwanaume gani wewe unawaza kubeba mimba?
jamaa ana wazo ila hao wajinga wawili hapo juu ndio hawajamwelewa

GOD! fobd,kitu gani hiki tena.
Unapofikiria kubeba mtoto unafikiria kutungwa mimba,unapofikiria kutungwa mimba unafikiria kupigwa miti na unapofikiria kupigwa miti na huku we wa kiume.....
jamaa ana wazo ila hao wajinga wawili hapo juu ndio hawajamwelewa
ndiyo umejua leo?Habari wana MMU na jf kwa ujumla.
Leo nimetokea kufikiria hivi kwa mfano wanaume kwa namna tulivoumbwa na hali ya ubabe na nguvu,ingekuwa sisi ndo tunabeba ujauzito,mambo yangekuwaje,wangapi wangezibeba kwa miezi tisa?
Mama ni mtu wa kumheshimu sana hapa duniani!

Wenzako wanawaza biashara za kuongeza ww unawaza impossibles dah
Chunga sana mawazo ya kijinga namna hiyo yasikutawale!! Hata Sir Elton John alianza hivyo hivyo kama wewe sasa hivi ni mke wa mtu!!
Habari wana MMU na jf kwa ujumla.
Leo nimetokea kufikiria hivi kwa mfano wanaume kwa namna tulivoumbwa na hali ya ubabe na nguvu,ingekuwa sisi ndo tunabeba ujauzito,mambo yangekuwaje,wangapi wangezibeba kwa miezi tisa?
Mama ni mtu wa kumheshimu sana hapa duniani!
Dada Nivea wazo la huyu ndugu ni tata.jamaa ana wazo ila hao wajinga wawili hapo juu ndio hawajamwelewa