kelao
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 8,132
- 5,785
yes it's true!Mkae mkijua Zanzibar ni nchi kamili, ni "Tanganyika" tu ndiyo inayoumwa "Identity crisis"
yes it's true!Mkae mkijua Zanzibar ni nchi kamili, ni "Tanganyika" tu ndiyo inayoumwa "Identity crisis"
" ninachozungumzia mimi ni waZanzibari halisa (wazaliwa), ambao Inshallah muda mfupi ujao watakuwa na uraia wao kama waZanzibari, sio wahamiaji wa aina yoyote"
Hao Wazawa aw Zanzibar ni wakiwemo Wamalawi kama Abeid Amani Karume na ukoo na Pia kina Dr Bilali makamo aw Rais nae Mzaliwa wa Malawi? Pia wamo wahamia Kama kina Jussa na Farid? Na Hao wazanzibari gani wa kale ikiwa asilimia 60 Yao wamehamia Tanganyika? Na wanazaliana hukohuko? We sumu ya chuki itakuuwa wewe mwenyewe. Legeza msimamo ujiokoe na hasira za bure

Nimeona kupitia TBC1 hapa mpambano kati ya Burundi na Zanzibari. Nyimbo zao za Taifa zimepigwa, nikasikia melody ya wimbo wa Zanzibar. Hauna mfanano wowote na wimbo wetu wa tanganyika.
Kadhalika naombakama kuna mtu mwenye maneno yaliyo kwenye wimbo wa Taifa wa Zanzibar atuwekee humu
Farid na Jussa ni Wahamiaji kutoka nchi gani na wamekuja Zanzibar mwaka gani?
ha ha ha, mkatao kwao mtumwa, nakumbuka ulikuwa kama hivi, miaka 25 nyuma wakati tukiwa primary:
Mungu ametubarikia, Unguja na pemba yote, sote tunashangiria, jamhuri kutuletea, mungu ametubarikia, unguja na pemba yote.
Vile wimbo wa taifa la tanganyika unitwaje?
Inshalla! Mashallah!!! Allah!! Allah!! Allah!! Mashallah!!!!!!!!!!!!!!!! Bila shaka hayo yamo.
Hii thread imenipa kitu fulani, Inaonekana wengi wetu hatujui hata Muungano wa Tanganyika na Zanzibar upo katika mazingira gani. Na pia hatutaki kutumia muda kuuelewa Muungano huu. Kama attitude yetu inakuwa katika dharau linapokuja swala la Zanzibar basi sioni kama tunaweza kutumia hata muda kidogo kujua kuhusu huu Muungano. Nachukia lugha ya kejeli na matusi katika mustakabali wa nchi "The life of righteous teach many, but fools die for wanna of Wisdom" It is pity
Wimbo wa Taifa wa Zanzibar niliwahi kuusikia kama miaka 20 iliyopita, kama kumbukumbu zangu zikiwa sahihi kuna maneno kama
"Sisi sote tumekomboka kwa ndugu, kwa ndugu zetu waliopotea
Walo pigania nia nchi yetu, na kulilinda taifa taifa letu
Muhanga sote twajitolea........."
Kwa mara ya kwanza nilipousikia, nilihisi kama unakupa kitu fulani hivi (Emotional)... Nakumbuka tulienda kwenye michezo ya pasaka. Na tulianza debate ... baadhi yetu walikuwa na point kwamba wimbo wa Zenji unakupa ujasiri zaidi unapotaka kupambana. Wakati wimbo Tanzania mzima umekaa kidua dua zaidi.
Naomba kushare nanyi my little experience
Nimeona kupitia TBC1 hapa mpambano kati ya Burundi na Zanzibari. Nyimbo zao za Taifa zimepigwa, nikasikia melody ya wimbo wa Zanzibar. Hauna mfanano wowote na wimbo wetu wa tanganyika.
Inakuwaje mataifa kama Zimbabwe, Afrika ya Kusini wana melody inayofanana na Tanganyika wakati Zanzibar ambayo tumeungana nayo hakuna mfanano wowote?
Kadhalika naombakama kuna mtu mwenye maneno yaliyo kwenye wimbo wa Taifa wa Zanzibar atuwekee humu