Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,470
Wimbo wa Taifa la Nchi ya Znz ni huu.
MUNGU AMETUBARIKIA,
UNGUJA NA PEMBA YOTE.
SOTE TUNASHANGIRIA,
JAMHURI KUTULETEA.
MUNGU AMETUBARIKIA,
UNGUJA NA PEMBA YOTE.
Ni taarab?
Wimbo wa Taifa la Nchi ya Znz ni huu.
MUNGU AMETUBARIKIA,
UNGUJA NA PEMBA YOTE.
SOTE TUNASHANGIRIA,
JAMHURI KUTULETEA.
MUNGU AMETUBARIKIA,
UNGUJA NA PEMBA YOTE.
Watanga na nyika wekeni bongo la fleva lenu tulisikie.Ni taarab?
Una hasira na roho mbaya kwa kuwa mumefungwa na Zanzibar Heros ? Zanzibar ime kukaa kooni kama nyerere ...Nimeona kupitia TBC1 hapa mpambano kati ya Burundi na Zanzibari. Nyimbo zao za Taifa zimepigwa, nikasikia melody ya wimbo wa Zanzibar. Hauna mfanano wowote na wimbo wetu wa tanganyika.
Inakuwaje mataifa kama Zimbabwe, Afrika ya Kusini wana melody inayofanana na Tanganyika wakati Zanzibar ambayo tumeungana nayo hakuna mfanano wowote?
Kadhalika naombakama kuna mtu mwenye maneno yaliyo kwenye wimbo wa Taifa wa Zanzibar atuwekee humu
Mpuuzi kama wewe huko kama somalia wangekuwa washakukata kichwa, hizo siasa zenu za kutaka kutugawa wazanzibari hazina mashiko tena, alishindwa baba yako nyerere utaweza wewe ? na zile damu zenu kule unguja ambazo zinatuletea tabu pale kisonge tutazipandisha boti kwa sababu za chuki kama zako za kutaka kutugawa kimakundi wazanzibari lakini haina nafasi tena, hapo nanyi mukaja kubaguana kimakabila ndipo utajua nini maana ya umoja wenu na udugu, taifa ndio msingi acha ukabila wako wewe.Zanzibar ikijitenga, watapata msukosuko kidogo, watagundua kumbe sisi ni Waunguja na wao Wapemba.
Hapo ndio utamu uliko, Pemba wimbo wao wa Taifa utakuwa na mahadhi ya Kibao Kata, na Unguja wimbo wao utakuwa na mahadhi ya Hamada Amelewaaa
Huu ndio wimbo wa taifa la ZanzibarNimeona kupitia TBC1 hapa mpambano kati ya Burundi na Zanzibari. Nyimbo zao za Taifa zimepigwa, nikasikia melody ya wimbo wa Zanzibar. Hauna mfanano wowote na wimbo wetu wa tanganyika.
Inakuwaje mataifa kama Zimbabwe, Afrika ya Kusini wana melody inayofanana na Tanganyika wakati Zanzibar ambayo tumeungana nayo hakuna mfanano wowote?
Kadhalika naombakama kuna mtu mwenye maneno yaliyo kwenye wimbo wa Taifa wa Zanzibar atuwekee humu
Mpuuzi kama wewe huko kama somalia wangekuwa washakukata kichwa, hizo siasa zenu za kutaka kutugawa wazanzibari hazina mashiko tena, alishindwa baba yako nyerere utaweza wewe ? na zile damu zenu kule unguja ambazo zinatuletea tabu pale kisonge tutazipandisha boti kwa sababu za chuki kama zako za kutaka kutugawa kimakundi wazanzibari lakini haina nafasi tena, hapo nanyi mukaja kubaguana kimakabila ndipo utajua nini maana ya umoja wenu na udugu, taifa ndio msingi acha ukabila wako wewe.
Sisi tunaliliza utaifa wetu makabila yetu tumeweka kando, wewe unaleta ubaguzi wako wa kitoto, haitakusaidia kitu chochote, hebu nenda ukaone wanyamwenzi, warangi, wapare na wengine huko dar es salaam wanatoa maoni ya katiba mpya kudai taifa lao la tanganyika wewe ndio kwanza unaleta ubaguzi wa kijinga,,, una chiki binafsi na roho mbaya ndani ya roho yako, kaa chini ujitafakari na uji tathmini.
Kichwa cha utomvu... akili za samaki.Nakusamehe bure, akili zako ziko visiginoni
Kanchi ketu maskini!kanameguka taratibu,mare leo bendera,kesho wimbo wa taifa,.ah..haya bwana waache waende zao!si wameamua!
Kama Zanzibar sio nchi ukizingatia vitu vyote walivyonavyo: Bendera, Wimbo wa taifa, Rais, Mawaziri, Wabunge (Baraza la wawakilishi), pia rais wao ndiyo commander mkuu wa vikosi vyote vya kizanzibari, yaani KMKM na mafunzo. Kama katika hili bado si nchi, basi Tanganyika yangu ambayo haina chochote kati ya hivyo tutaiweka wapi? Inaniuma sana mimi kama mtanganyika.Zanzibar sio nchi, Rais wa Zanzibar (governor) alishindwa kuzuia Ghasia za mwezi jana kwa sababu hakuwa na mamlaka ya kuamuru hata Polisi kuwakamata Uamsho, alirudi Kikwete toka nje na mutual bila taarifa akatoa Amri wakamatwe wote wanaofanya fujo, Ilibaki tu Governo name akimbie.
kwanini zanzibar iwe na wimbo wao wa Taifa tofauti na huu niujuao mimi?
kwani huu wimbo wa mungu ibariki ni wa tanzania bara pekee? mbona mi sielewielewi hapo? mimi nilidhani kwa kuwa tumeungana basi tutakuwa na nyimbo moja na bendera moja,sasa kwa mtindo huu hakuna muungano hapo
No. wana wa CECAFA TU,Nafikiri hata wa CAF bado.hivi hawa wakomoro,no samahani wazanzibar walishapata uanachama wa FIFA?
Kama Zanzibar sio nchi ukizingatia vitu vyote walivyonavyo: Bendera, Wimbo wa taifa, Rais, Mawaziri, Wabunge (Baraza la wawakilishi), pia rais wao ndiyo commander mkuu wa vikosi vyote vya kizanzibari, yaani KMKM na mafunzo. Kama katika hili bado si nchi, basi Tanganyika yangu ambayo haina chochote kati ya hivyo tutaiweka wapi? Inaniuma sana mimi kama mtanganyika.