klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
khaaaa! hapa inabidi niongee kiyunani. sakramento do sokeloisa teruim liyalo asrotose. Amen!Kwa tabia hizi mnafikiri tutawataka, bora twende na vibabu vya kizungu hata vinatusikiliza kuliko nyie mnakuja usiku hamtaki kuulizwa, huko bar mnakaa kaa na vimada mkiulizwa vita, ahaha nimechoka, eti mwingine anashauri utafute nyumba ndogo imekula kwenu, ningemuona huyo mkeo ningempa dili la kupata mzungu ndio ungejua. Weka namba ya simu ya huyo mkeo alete na picha uone mambo. Acheni hizooo zimepitwa na wakati. Mke au mume kila mmoja natakiwa kupewa heshima, Acha mfumo dume. Tena endeleeni tu, tutawawekea na mazamu ya kufua kupika na kunyonyesha we ngoja. eti unampa kila kitu sijui gari watoto unatunza sijua full tank WHAT IS THAT? Alitoka kwao kwa ajili yako sio vitu. Mbona vitu tunaweza kutafuta tu. kwa kwa vile tunawaheshimu bana. KATAFUTE NJIA YA KUELEWANA NA MKEO ACHA UONEVU. NIKIMUONA TU NAMPA DILI LA MMBABU WA KIZUNGU.
hii ni kusema wanawake ni sawasawa na CCM, kabla uongozi/ndoa ma ahadi kibao, wakishakupata uongozi/ndoa lambada linaanza. dah!
Mkaliman tafadhali.khaaaa! hapa inabidi niongee kiyunani. sakramento do sokeloisa teruim liyalo asrotose. Amen!
Hahahahahaha. Una kiburi wewe. Unataka kumkandamiza mkeo! Una bahati hujawa mume wangu, nngehakikisha unanyooka kwenye mstari. Wewe uongee tuuuuuuuuu mwenzio akae kimya! Kisa? MUME. Na yeye si MKE? Mpe nafasi mkeo, vinginevyo kama anakudharau, ila kama anakushauri kwa heshima na Upendo kwa nini usimsikilize?? Punguza munkar basi Shem.
Kuna siku nilimwaga hapa mikero kibao ya kinamama,mimgine hii hapa:
1. Mara akwambie oh Ex wangu alikuwa hivi mara vile,ya nini yote bana? mbona mliachana sasa?
2.'We nae mpira tu kila siku',maneno gani ya kunambia hayo? Fikiria kesho Man U anakipiga na Chelsea halafu nikitaka kwenda pub nikaangalie unaniletea za kuleta,nikisema nikae mnaweka mi tamthiliya yenu,is it fair,saloon mbona sikuzuii kwenda?
3.Mara oh 'naona mapenzi yamepungua' mwanzo yalikuwa kilo ngapi na sasa kilo ngapi?yamepungua kivipi umeyapima na nini? kwa nini unanipa mastress ya kukuonyesha mapenzi,si uache ya flow tu,mwisho nitakuwa mnafiki!
4.'Sipendi marafiki zako hao'.Alllaaaa yamekuwa hayo? Enzi ya uchumba tunajirusha hadi majogoo na genge hilo hilo unalosema hulitaki,leo umeolewa ndo unawaona wabaya eti 'wataniharibu'? waniharibu nimekuwa gari au picha ya ukutani?
5.'Kwa nini unanirudia saa hizi'(with legs akimbo),embu nikuulize hii nyumba yangu yako?
.........nitaendelea ngoja nishushe munkari kwanza.........
Mtu na mtu kivipi?kule kwetu ntwara inategemea ntu na ntu
Kwa tabia hizi mnafikiri tutawataka, bora twende na vibabu vya kizungu hata vinatusikiliza kuliko nyie mnakuja usiku hamtaki kuulizwa, huko bar mnakaa kaa na vimada mkiulizwa vita, ahaha nimechoka, eti mwingine anashauri utafute nyumba ndogo imekula kwenu, ningemuona huyo mkeo ningempa dili la kupata mzungu ndio ungejua. Weka namba ya simu ya huyo mkeo alete na picha uone mambo. Acheni hizooo zimepitwa na wakati. Mke au mume kila mmoja natakiwa kupewa heshima, Acha mfumo dume. Tena endeleeni tu, tutawawekea na mazamu ya kufua kupika na kunyonyesha we ngoja. eti unampa kila kitu sijui gari watoto unatunza sijua full tank WHAT IS THAT? Alitoka kwao kwa ajili yako sio vitu. Mbona vitu tunaweza kutafuta tu. kwa kwa vile tunawaheshimu bana. KATAFUTE NJIA YA KUELEWANA NA MKEO ACHA UONEVU. NIKIMUONA TU NAMPA DILI LA MMBABU WA KIZUNGU.
Hizi ndoa za siku hizi bana eti hajaweka tofali how can he say something like that?...ha ha ha, punguza munkari mkuu.
Hupo peke yako, ni 'pingu za maisha hizo!'
Kwa mwanamme kama huyu asiyetaka kuulizwa chochote ili mkewe anyamaze kabisa ni lazima awe na mtu pembeni hapo atanyamaza kimyaMimi ni mwanaume lakini siungi mkono kuongeza mke ili upate heshima. Kadhalika siungi mkono mwanamke kutafuta Kenny Rogers (Mbabu wa kithungu) ili kutafuta heshima. Ikitokea hivyo kuna tatizo kwa anayetoka nje kwenda kutafuta heshima awe mwanamke au mwanaume.
Its my fu.....g house,hajaweka tofali hapo!
Kwa mwanamme kama huyu asiyetaka kuulizwa chochote ili mkewe anyamaze kabisa ni lazima awe na mtu pembeni hapo atanyamaza kimya
Dawa unamtafutia nyumba ndogo 2 na unahakikisha na yeye anazijua
He shem kweli shusha munkari halafu urudi maana naona mkeo kakuudhi kweli kweli....pole
Yeah kuku wa kienyeji wanahusika sana Bishanga hawa wa mboga 7 mimi nilisha nyosha mikono unaletewa mapenzi ya ISIDINGO
Alafu hivi ni kwa nini nyie wanawake kabla ya kuolewa huwa mnakuwa wanyenyekevu sana mkisha fika ndani mnakuchunjua makucha yenu kwa nini hivi?Sa tukikunjua makucha kabla ya kuolewa, tutaolewa kweli jamani?
Kwa mwanamme kama huyu asiyetaka kuulizwa chochote ili mkewe anyamaze kabisa ni lazima awe na mtu pembeni hapo atanyamaza kimya
Its my fu.....g house,hajaweka tofali hapo!
Wacha niondoke zangu,kawaida huwa nakunywa ndovu,leo ntapiga konyagi iliyochanganywa na amarula kisha ntajua la kufanya. nshachoka mimi.
...Shabaashh! suluhisho lipo hapo. Piga simu wife awapeke watoto kwa shangazi na yeye asichelewa kurudi!