Hivi mnataka mpendejwe?

Kama mwanaume hutakiwi kushindwa kumfanya mke wako akusikulize.Acha kumfokea kama mtoto badala yake ongea nae kama mke wako ambae ni mtu mzima!

Tatizo huwa hamzabi hata vibao inatakiwa awe anampa discipline kidogo
 
Hahahahaha. Hajaweka tofali lakini ni MKE. Kwa hiyo mke asipoweka tofali kwenye nyumba inabidi awe msikilizaji tu hata kama anaona mambo hayaendi sawa ndani ya nyumba?
Hayajaenda sawa kwa mtizamo wake wa kiubishibishi,kwangu mimi yanaenda sawa,si anakula bana anashiba,anavaa,gari yake full tank,simu full mivocha,watoto best school.....anataka nini sasa?
 
tatizo too much u beijing!hela ntafute mimi,nduguzo nikutunzie,watoto full matunzo,halafu unaleta lomo!
Hapa nimesikitika mpaka nataka kulia na ntalia kweli Shem, hayo sasa mbona ni manyanyaso? Unataka nani awape matunzo hao watoto? Na kwa nini utumie matunzo yako kumnyanyasa mkeo? Unampenda kweli?? Kama hana kipato afanyeje? Angekuwa na kipato kama wewe ungempa nafasi ya kumsikiliza? Sasa nimekupata vizuri. Pole mke wa Bishanga manake kazi unayo.
 
Kama yanaenda sawa maswali yanatoka wapi? Ukiona anahoji ujue hayaendi sawa. Kwa hiyo ukiweka gari ful tank ndo umjie sa 8 za usiku afu anyamaze?
Hayajaenda sawa kwa mtizamo wake wa kiubishibishi,kwangu mimi yanaenda sawa,si anakula bana anashiba,anavaa,gari yake full tank,simu full mivocha,watoto best school.....anataka nini sasa?
 
Hapa nimesikitika mpaka nataka kulia na ntalia kweli Shem, hayo sasa mbona ni manyanyaso? Unataka nani awape matunzo hao watoto? Na kwa nini utumie matunzo yako kumnyanyasa mkeo? Unampenda kweli?? Kama hana kipato afanyeje? Angekuwa na kipato kama wewe ungempa nafasi ya kumsikiliza? Sasa nimekupata vizuri. Pole mke wa Bishanga manake kazi unayo.
Kila taasisi ina taratibu zake bana,taasisi ya ndoa nayo ina protocal zake,sio ndani ya nyumba inakuwa kama kwa 'nshonzi/kambare' ambako kila mwanafamilia ana sharubu! nooo way!
 
jamani kwani wifi kakutendaje??

msamehe bana!!! si unajua wanadamu kwa kujisahau lol!!

Leo umenitoa kwa mtogole na kunipeleka masaki, kesho nikipita kwa mtogole naona kuna nuka na vibaka kibao, kumbe ndiko nilikokulia!!!

Take it easy bana, usitunyambue sana, kila mtu anamapungufu.
 
Kama yanaenda sawa maswali yanatoka wapi? Ukiona anahoji ujue hayaendi sawa. Kwa hiyo ukiweka gari ful tank ndo umjie sa 8 za usiku afu anyamaze?
we unaweza kumpangia mmeo ratiba?yalianza lini hayo?
 
Kila taasisi ina taratibu zake bana,taasisi ya ndoa nayo ina protocal zake,sio ndani ya nyumba inakuwa kama kwa 'nshonzi/kambare' ambako kila mwanafamilia ana sharubu! nooo way!
<br />
<br />
Hebu mifumo dume yako bana na wewe yaani nikae nasikiliza kwa una hutubia nini unataka kuniudhi sasa
 
Mwanamke akijijua yupo peke yake ndo mwanzo wa nyodo na majivuno akigundua ehee kumbe wapo wengi anaanza kukuheshimu kumbe Mr. ni kidume nikikaa vibaya nitapinduliwa.
<br />
<br /> Nani kakwambia ndo dawa hiyo
 
jamani kwani wifi kakutendaje??

msamehe bana!!! si unajua wanadamu kwa kujisahau lol!!

Leo umenitoa kwa mtogole na kunipeleka masaki, kesho nikipita kwa mtogole naona kuna nuka na vibaka kibao, kumbe ndiko nilikokulia!!!

Take it easy bana, usitunyambue sana, kila mtu anamapungufu.
Susy kumwuliza mumeo kwa nini kakujia nyumbani sa 10 za usiku ni mapungufu?? Huyu shemu kakasirishwa pengine hasira anaziangushia kwa Wifi yetu. Mi sikubali bana.
 
jamani kwani wifi kakutendaje??

msamehe bana!!! si unajua wanadamu kwa kujisahau lol!!

Leo umenitoa kwa mtogole na kunipeleka masaki, kesho nikipita kwa mtogole naona kuna nuka na vibaka kibao, kumbe ndiko nilikokulia!!!

Take it easy bana, usitunyambue sana, kila mtu anamapungufu.
bora kuoa wa kwa mtogole kuliko hawa kina yes yes kibao,lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom