Huyo jamaa kakurupuka kuanzisha uzi tuView attachment 1804485Sehemu ambako physics inakuwa applied
- Astronomy and astrophysics.
- Biophysics.
- Chemical physics.
- Cosmology.
- Engineering physics.
- Geophysics.
- Medical physics.
- Optics.
- Particle physics.
- Quantum computing.
Kazi za mtu aliyesema physics
Kazi.ambazo mathematics inakuwa applied
- Data analyst.
- Engineer.
- Patent attorney.
- Physicist.
- Physics researcher.
- Physics teacher or professor.
- Programmer.
- Project manager.
- Scientist.
1.Auditor:
2. Data or Research Analyst:
3. Computer Programmer
4. Medical Scientist
5. Financial Analyst
6. Statistician
7. Actuary
8.Economist
9. Software Developer
10. Data Scientist
kazi ambazo chemistry inakuwa applied
Mleta mada usichokijua ni kama.usiku wa kiza walioanzisha hizi degrees sio idiots wanajua nini wanaofanya
Ungeuliza vizuri kistaarabu ili ueleweshwe .Alio kwambia physics ni kwa walimu tu nani?Hawa wasomi wanashangaza.
Hivi ninyi ni walimu?🤣
Hivi taaluma yenu mnaijua kweli.
Hivi inakuwaje mtu anaenda kusoma kozi chuoni ambayo hajui mwisho wa siku hajui atakuwa nani ?
Au ni ilimradi tu "boom" lipo na kitaa wanakujua uko chuo🤣
Anyway, mimi sijui.
Majinga ! Kwa sauti ya kisukuma.Yani hajui hata kama physics na math wana soma kozi nyingi tu za computer science, siku hizi kuna data science ambayo inawafavour sana wanamahesabu. watu wengine jinga sana!!Hawa ni baadhi tu ya computer Scientists wenye degrees za mathematics na physics.Wewe kazi kubisha hata facts huna.Computer bila mathematics sio computer
Charles babbage
Von Neumann
Alan turing
Ada lovelace
Alonzo Church
"Elimu inasaidia sana kwa walioelewa wamesoma nini ila sio kukariri." Mkuu ebu agiza kwanza maji hapo na wakikudai pesa waambie PROFESA anakuja kulipa.
Mkuu watu wengine hawaelewi kitu lakini wanakubishia mtu ambaye unakielewa kitu hicho kuna watu wa ajabu sanaMajinga ! Kwa sauti ya kisukuma.Yani hajui hata kama physics na math wana soma kozi nyingi tu za computer science, siku hizi kuna data science ambayo inawafavour sana wanamahesabu. watu wengine jinga sana!!
Kwanza kabla sijakuambia wanaajiriwa kama kina nani naomba ukiri uwepo wa kazi za waliosoma degrees za phy,chem na math.Nisije kuwa nawapigia mbuzi gitaaWapo Tanzania au huko nje ya Nchi alfu mbona hata mimi Bachelor of Archaelogy naweza kuwa Computer progammer
Suala sio zinawasaidiaje Suala wanaajiriwa wapi kama nani TANZANIA
Kazi ambazo si ajiraKwanza kabla sijakuambia wanaajiriwa kama kina nani naomba ukiri uwepo wa kazi za waliosoma degrees za phy,chem na math.Nisije kuwa nawapigia mbuzi gitaa
Ila ni kazi za namna ganiKazi ambazo si ajira
Hawa wasomi wanashangaza.
Hivi ninyi ni walimu?
Hivi taaluma yenu mnaijua kweli.
Hivi inakuwaje mtu anaenda kusoma kozi chuoni ambayo hajui mwisho wa siku hajui atakuwa nani ?
Au ni ilimradi tu "boom" lipo na kitaa wanakujua uko chuo
Anyway, mimi sijui.
Tayari mleta uzi amepata majibu hapa. Tena mkemia mkuu kwa sasa ni Dr. Fidelis Mafumiko na anateuliwa na Rais aende pale GCLA atamkuta ofisini.Hivi kwanini serikali zote Duniani zina MKEMIA MKUU wa serikali (CHIEF GOVERNMENT CHEMIST)? Kwanini kada zingine hazina machief, mimi nadhani BSc Chemistry watoe hapo ni watu wakubwa sana hapa Tanzania. Hawa BSc Chemistry hata serikali inawatambua mkuu na ndio maana unamwona Chief Chemist hapo. WAKEMIA wamo ndani ya katiba mkuu.
Hizi course kwa Tanzania kweli ni majanga ukitoa Chemistry,Kwa ajira za serikali kwa Bsc Maths fursa pekee ni kuajiriwa kama mtakwimu katika Serikali za mitaa na Serikali kuu au ambao watamaliza kwa G.P.A kubwa fursa nyingine ni kua lecturer nafasi za scholarship ni nyingi kwa mathematician.speaking from experienceHawa wasomi wanashangaza.
Hivi ninyi ni walimu?🤣
Hivi taaluma yenu mnaijua kweli.
Hivi inakuwaje mtu anaenda kusoma kozi chuoni ambayo hajui mwisho wa siku hajui atakuwa nani ?
Au ni ilimradi tu "boom" lipo na kitaa wanakujua uko chuo🤣
Anyway, mimi sijui.
Kuna jamaa yangu mmoja ni mzaliwa wa chato (mimi pia) alisoma BSCP yani Bachelor of Science ni procurement, tukawa tunamcheka sisi tunaosoma Engineering Courses. Bwanaweeh, baada ya shule jamaa akapata ajira yake serikalini ofisi ya manunuzi, na baadae akapata connection za kuwa karibu na marafiki wa aliyekuwa Rais, Sasa hivi anamiliki heka kadhaa zenye maelufu ya ngo'mbe na ni tajiri wa kutupwa.Jibu swali wewe.
Unapoongelea Math au Physics unaongelea misingi ya sayansi. Mtu wa Phy na Maths anauwezo wa kufit kwenye field yeyote ya sayansi au engineering.D
Duuh.. mkuu hii ya kusomea Degree ya physics kuwa
programmer na degree ya maths kuwa software developer una uhakika nayo???
Mkuu huna maarifa ya kujua kila kitu chini ya jua. Naamini wewe si daktari, na kama ni daktari basi si engineer, na kama ni engineer basi si mwalimu, na kama ni mwalimu basi si mchungaji, na kama ni mchungaji basi si fundi uashi, na kama ni fundi uashi basi si daktari.Hawa wasomi wanashangaza.
Hivi ninyi ni walimu?🤣
Hivi taaluma yenu mnaijua kweli.
Hivi inakuwaje mtu anaenda kusoma kozi chuoni ambayo hajui mwisho wa siku hajui atakuwa nani ?
Au ni ilimradi tu "boom" lipo na kitaa wanakujua uko chuo🤣
Anyway, mimi sijui.
Ngoja nicheke kwa sauti, hahahahahahahaaaaaa, mleta mada amewazalilisha wa kemia Tanzania aise. Aje atolee maelezo haraka.Tayari mleta uzi amepata majibu hapa. Tena mkemia mkuu kwa sasa ni Dr. Fidelis Mafumiko na anateuliwa na Rais aende pale GCLA atamkuta ofisini.