Hivi mnaamini katika nyota?

Hayupo mtu ambaye mambo yake yameenyooka

Kila successful story kuna failure nyingi sana ndani yake.

Pamamba, muombe sana Mungu, shortcut is always a wrong cut
Why do you think nimegusia shortcut?

Hakuna kitu kama shortcut, Nimeongelea kitu kinaitwa nyota, like bahati or something..
 
Why do you think nimegusia shortcut?

Hakuna kitu kama shortcut, Nimeongelea kitu kinaitwa nyota, like bahati or something..
Ndiyo mambo ya kijinga hayo, ndiyo shortcut zenyewe, hakuna nyota wala jua, pambana
 
Ndiyo mambo ya kijinga hayo, ndiyo shortcut zenyewe, hakuna nyota wala jua, pambana
Kijinga?

Na ndo watu wanatumia kutengeneza matukio, hujawahi kuona mwezi fulani watu wana behave differently?

Hujawahi kujiuliza why nyakati fulani unakuwa mwafaka kwa ajili ya ceremony kwa Jami fulani?

Kwamfano Dogo wa ancient Mali wali tumia alignment ya nyota kufanya rituals
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…