Nahisi ndio mtindo wa jf ulivyo watu wa kwanza wanaochangia wana athari kubwa kwenye kuonesha muelekeo wa mada itakavyokuwaJe, how is that even possible?
Kwamba judgements iwe kwa watu wengine wanasemaje kuku husu?
Hayo mambo yapo sana uswahilini huko ni balaa, mimi sikuwahi kuamini hizo mbanga mpaka siku nilipoyakanyagaHayo mambo ya nyota ni imani tu,
Life is like a mirror,smile at it and it smiles back at you.
Una akili nzito sana ya uelewa,Really?
If that was the case, Africa could smile its way out of poverty
Unachokula ndivyo unavyokuwa, ushaona miili ya watu wanaopemda kula nguruwe sana, huoni inawapelekea kufanana na nguruwe mwenyewe?
Aisee, nakubaliana na wewe, you are what you eat..Ukila nguruwe sana unakuja kufanana na nguruwe kwa silimia kubwa, narudia unajokichenha akilini mwako ndivyo kinachoishi maishani mwako
According to astrology kuna influence kubwa ya nyota kwenye destiny yako.. Ni vile tu hii imebaki kuwa dhana za kizamani ila wali tumia sana watu wa kaleLeo hii sayari au nyota zilizo angani, una zirelate na kuoanda na kushuka kwa maisha yako...Imagine that
Issue ni kuwa unaongea things by logical fallacy then unataka Twende nayo tu, acha kuwa triggered angalia consistency ya maneno yako mwenyewe.Una akili nzito sana ya uelewa,
Yani kwa akili yako umeelewa ni kukichekea Kioo sio?
Hivi ulienda hata Shule kweli?
Sijakataa kuna mambo kadhaa yako influenced vitu vinavyotuzunguka...Aisee, nakubaliana na wewe, you are what you eat..
According to astrology kuna influence kubwa ya nyota kwenye destiny yako.. Ni vile tu hii imebaki kuwa dhana za kizamani ila wali tumia sana watu wa kale
Hahahaaa kiswahili kigumu!Haushiriki nini? Umesoma uzi ukaelewa?
Mbona sasa sisi tunakuwa blind kwa vitu kama hivyo? Yaani tunaishi tu hata wanyama watushinde?Mfano mwezi una influence hata baadhi ya wanyama hususani mwezi ukiandama unaona baadhi ya mfigo inakuwa restless wanyama kama paka wanalia sana
I believe kumbe kuwa na misinformation maana kila mtu, anakuja na theory yake, na dini pia zimetufunga mlango ya fahamuSo siwezi kataa, lakini kwamba swala la nyota liko general una share na kila mtu, ukilipa uhalisia tutakuwa tunaishi kwenye computer sio bure
Ni kweli ila astrology haiko tailored kwenye tarehe tu, iko tailored na life path number, iko tailored na majina yote matatu, yaani ni kwamba mtu unaweza kufungua mengi kukuhusu na akawa unique kwako pekee,Haiwezekan wote waliozaliwa tareh 1 may wawe na same characteristic whole world, makes sense?
Kajiunge na Memkwa ile shule ya Steve mweusi,upanue mawazo yako kidogo na uwe unaelewa michango ya wachangiaji.Issue ni kuwa unaongea things by logical fallacy then unataka Twende nayo tu, acha kuwa triggered angalia consistency ya maneno yako mwenyewe.
Mimi mwenyewe sijachukua things literally, nimekwambia hivyo nikiwa na maana kuwa kuna invisible hand ambayo inacontrol how things should unfold. Ila watu hudhani kuwa labda hicho kitu ni nyota, maybe kuna uwezekano mtu akafafanua ni nini hasa
Aiseee🤣Funguka, je wewe kutokula ban pamoja na kusumbua jukwaa ni nyota pia?
Wewe huwa hujielewi na huwa unakuwa na mawenge ya haraka haraka.Kajiunge na Memkwa ile shule ya Steve mweusi,upanue mawazo yako kidogo na uwe unaelewa michango ya wachangiaji.
Kukupa ushauri ili ufungue ufahamu wako ndio kupanic?Wewe huwa hujielewi na huwa unakuwa na mawenge ya haraka haraka.
Sasa umesha toka kwenye mada na kupanic.
Kama huna hoja kaa pembeni
Hayo ni maneno yako mwenyewe baada ya kukosa hoja za msingi..Kukupa ushauri ili ufungue ufahamu wako ndio kupanic?
Naona wachangiaji wanajisumbua bure tu coz huna akili ya uelewa,
Kama kawaida yako Gunner,unafungua uzi kuuliza jambo kisha unaanza kubishana na wachangiaji!
Curriculum ✅Naomba unipe link au nyenzo za kuweza kujifunza, maana nimekuwa nikiwa misguided na watu wengi hawatoi right carriculim
Chiwawa bhana.Hayo ni maneno yako mwenyewe baada ya kukosa hoja za msingi..
Unaleta maneno hasi ukitegemea watu wafute bila kuangalia consistency ya hoja zako.
Acha upotoshi, Sija is hana na mtu hapa,
Nimeuliza maswali kuweza kuona na kuangalia ukweli wa hoja zao, na ni sawa kabisa wala hakuna shida yoyote.
Wewe huna hoja za msingi toka mwanzo acha kuleta upotoshi. Stay on the sidelines