Hivi mmeshalala? Au mnafanyaje?

Hivi mmeshalala? Au mnafanyaje?

Mie niko huku Chanika............. Nitaupitisha usiku wa leo huku.......... hapa napiga stori na huyu mlinzi wa guest nilipofikia ananisimulia stori za kitaa....................
mlinzi huyo ni mwanaume au ndio jike la linda mali ya mama ngina
 
Wa arusha nijuzeni,vipi kaubaridi maeneo ya wasaga mahindi,nako ni baridi pia?


Bishanga nadhani unamaanisha Jamhuri Huru ya Unga Ltd. Kote ni baridi ya Ukeli mkuu.
 
Mie niko huku Chanika............. Nitaupitisha usiku wa leo huku.......... hapa napiga stori na huyu mlinzi wa guest nilipofikia ananisimulia stori za kitaa....................

Baba yake canta mi pia naupitisha usiku maeneo ya huko ntakuja kuunga kijiwe na nyie unipe zile story zako zinazosisimua...kama za kule MMU.
 
kulala.bmp

Ni mzuri?

Jeez! Kachoshwa sana huyo nadhani na leo tena yuko zamu.
 
Mie niko huku Chanika............. Nitaupitisha usiku wa leo huku.......... hapa napiga stori na huyu mlinzi wa guest nilipofikia ananisimulia stori za kitaa....................


Mkuu niangalizie kiwanja hapo Chanika kama utakuwa huko kwa muda. Nataka nikaishi huko na wazaramo huenda nitapata na mke huko huko. Just in case.
 
Nimelazwa wodini bana.Napiga story na mshikaji aliyelazwa pembeni yangu kumbe yeye ni mchonga majeneza.Sasa sijui kaja kushtua oda au vipi.Tunamsikilizia kwanza


Pole sana... Uwe mwangalifu huyo mchonga majeneza asije kuwa anazuga akumalize apate tenda ya kuchonga lako. Just in case.
 
Mie niko huku Chanika............. Nitaupitisha usiku wa leo huku.......... hapa napiga stori na huyu mlinzi wa guest nilipofikia ananisimulia stori za kitaa....................
mlinzi huyo ni mwanaume au ndio jike la linda mali ya mama ngina


Siyo siri hapo mnanichanganyi kabisu yaani wewe Ummu Kulthum uko kwenye lodge hiyohiyo na Mtambuzi?!?! The same character or naona duble duble? Au hapo wewe unaongea na mlinzi ambaye ni mtambuzi au mtambuzi anaongea na Ummu Kulthumu akidhani anaongea na mlinzi? Hii imekaaje? Wenzangu humu ndani.. Hapa chini kanijibu Mtambuzi kuwa anaongea na mlinzi at the same place na huyu naye...... Wananichanganya nisaidienit jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom