umesha toka eda?Mie sijalala!
Unauliza nafanya nini ?
Nakula Stafeli !
Una swali jingine?
umesha toka eda?
Wanasema ndoa huvunjikaNdiyo naihitimisha keshokutwa, ushanifanyia walau makeke pa kunipigia pande? Nidadavulie uniimbishie kwa kupata utulivu basi, au nawe unanchinjia baharini ?
Swali Special kwa usiku tu. Hapa A-city baridiii........ Vipi hapo ulipo ushalala au unafanya nini?
Nimekumisi wewe acha tu!Wanasema ndoa huvunjika
lakini sio ushemeji (na uke wenza).
Hivyo ni daima...
Wanasema ndoa huvunjika
lakini sio ushemeji (na uke wenza).
Hivyo ni daima...
Wa arusha nijuzeni,vipi kaubaridi maeneo ya wasaga mahindi,nako ni baridi pia?