Hivi mmeipata ya kanisa angilikan Ruvuma?

Hivi mmeipata ya kanisa angilikan Ruvuma?

Ndio maana huwa natia shaka sana na dini. Si huyo tuu tumesikia mapadre wa Ireland pia hadi waliwekewa insurance kwa mambo kama hayo. Heri uwe pagani kama mimi.
 
Huyo mchungaji ni kidume haswa!Tatizo la kutotaka kuoa ndio hilo sasa,mi yangu macho.
 
Tuangalie pande zote mbili, huyu mwanafunzi ametoka wapi na kukutana na kiongozi wa dini, 'maana mabinti nao/wanafunzi nao wanamitego yao ya ajabu sana' kiongozi wa dini ni mwanadamu kama mwanaume mwingine yeyote! ila hili swala la dhamana nafikiri wanasheria watusaidie kufafanua.....ili tusitafakari kitu ambacho kimefata mtitiriko wote unaotakiwa..matokeo yake tukaonekana tunachangia kitu tusichokielewa. Hizi ni nyakati za mwisho, ni kweli kabisa..tuwe macho!!!

Kiongozi inabidi awe mfano kwa wengine, kama kiongozi wa kanisa anatia mimba watoto wa watu sasa waumini wa kawaida watakuwaje ? au wamfuate nani ? wakati kiongozi wa kanisa yupo hivyo !!
 
Kiongozi inabidi awe mfano kwa wengine, kama kiongozi wa kanisa anatia mimba watoto wa watu sasa waumini wa kawaida watakuwaje ? au wamfuate nani ? wakati kiongozi wa kanisa yupo hivyo !!
Fuateni ninayowaelekeza msifuate ninayoyatenda
 
Yule kiongozi wa kanisa anayetuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi ameachiwa kwa dhamana na polisi,

Polisi hao wamejitetea kuwa wamelazimika kufanya hivyo kwa sababu huyu ni kiongozi wa kiroho na kuendelea kumshikilia ni jambo la aibu,

Tatizo hapa sio kumwachia, ila je upelelezi unaofanyika hataweza kuualibu? na je usarama wake dhidi ya wazazi wa huyo mtoto umeakikishwaje?

Na je, ni wametuhumiwa wangapi wenye kosa kama hili, wako ndani na kesi zao mpaka sasa ni kipindi kirefu hazijaanza kusikilizwa?

Hapa haki iko wapi????!!!!

Polisi wanatakiwa wamkamate na kumtia ndani kwa ubakaji hauna dhamana. Hakimu lazima kavuta kitu kikubwa.
 
Tuangalie pande zote mbili, huyu mwanafunzi ametoka wapi na kukutana na kiongozi wa dini, 'maana mabinti nao/wanafunzi nao wanamitego yao ya ajabu sana' kiongozi wa dini ni mwanadamu kama mwanaume mwingine yeyote! ila hili swala la dhamana nafikiri wanasheria watusaidie kufafanua.....ili tusitafakari kitu ambacho kimefata mtitiriko wote unaotakiwa..matokeo yake tukaonekana tunachangia kitu tusichokielewa. Hizi ni nyakati za mwisho, ni kweli kabisa..tuwe macho!!!

Unachosema ni kweli. Unajua kuna wasichana wadogo ambao wanajipeleka kwa wanaume lakini watu wengi haawaamini. Nimeshuhudia wasichana wakichukua simu za family friends kutoka kwa mama zao na wanapitia "mla wa nyuma" kwa kuwapigia wanaume wakitaka favours fulani na huku wakiomba wazazi wao wasiambiwe! What do you expect? Inahitaji moyo kwele kweli.
 
Kuna dhamana inayotolewa na polisi. Kisheria ipo

Tuwaombe wanasheria watusaidie, hata uchunguzi haujakamilika dhamana inatolewa kweli?

Dhamana inaweza kutolewa wakati uchunguzi unaendelea, inaruhusiwa kisheria

Polisi wanatakiwa wamkamate na kumtia ndani kwa ubakaji hauna dhamana. Hakimu lazima kavuta kitu kikubwa.
Bwana Mateso ebu angalia pointi za hawa jamaa, Fugwe,na mpita njia, wasaidie maana naona wewe una uelewa mkubwa zaidi wa masuala haya.
 
Inashangaza, lakini wa kulaumiwa ni Papa John paul II, walimuomba waoe akakataa, nafikiri ni wakati muafaka waruhusiwe kuoa, labda itasaidia kupunguza haya matukio.
eeeeeeeeeeh ww wa wapi?anglikana wanaruhusiwa kuoa bwana,kwani umeskia anglikana ni roman?
 
Fuateni ninayowaelekeza msifuate ninayoyatenda

Maneno yako sio sawa bana,

onesha mfano ndio nitakuamini, sio kusema tu na vitendo vyako tofauti kabisa na maneno yako, huo unaitwa unafik.
 
Inashangaza, lakini wa kulaumiwa ni Papa John paul II, walimuomba waoe akakataa, nafikiri ni wakati muafaka waruhusiwe kuoa, labda itasaidia kupunguza haya matukio.

Basi mafarisayo wakamwendea; wakimjaribu wakimwambia je ni halali mtu kumuacho mkewekwakila sababu? Akajibu kamwambia hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo aliwaumba mtu mume na mtu mke akasema kwa sababu hiyo mtuatamuacho babaye nba mamaye ataambatana namke, na hao wawili watakuwa mwili mmoja? Hata wamekuwa si wawili tena bali mwili mmoja. Basi aliyeungnisha Mungu mwanadamu asiwatenganishe. Mathayo: 9:3 – 6.
 
padre kumtia mimba mtoto,baba kumnanihi house-girl na mengineyo mie yote nayaona yanafanana.tujifunze kufuatilia mambo ya watoto wetu wakati wakusema watoto ni mali ya jamii umepitwa na wakati.mi nikiona kijana wangu amef***** nitajilaumu mwenyewe maana hata nikimpeleka mahakamani haisaidii ameshafanywa.. kinga ni bora kuliko dawa. Watu wengi wamefungwa lakini bado maasi yanaendelea,dawa ni kuprotect maasi kutoka familia yako ikiwezekana kwa kufuatilia mienendo ya watoto wetu.hao watu waovu wapo na mbinu nyingi kutokana na nafasi zao hivyo tupunguze risk sisi wenyewe nimeshaona huku ulaya siku hizi watoto wanapelekwa disco na wazazi wao wanawasubiri nje ya ukumbi hiyo ni kupunguza tu risk tukifanya hivyo wengi wetu hiyo mijambazi itapungua na hivyo serikali itashughulika na next level ya suala hilohilo..
 
Kiongozi inabidi awe mfano kwa wengine, kama kiongozi wa kanisa anatia mimba watoto wa watu sasa waumini wa kawaida watakuwaje ? au wamfuate nani ? wakati kiongozi wa kanisa yupo hivyo !!
ndo maana nimemkataza kabisa mke wangu kuwa karibu na hawa watumishi si waaminifu, baadhi lkn maana najua hapo nitashambuliwa, lkn kwakuwa huwezi kumtambua basi inabidi akae nao mbali wote ila hii inajitokeza za sasa hivi ila hata wazungu ndo walioanzisha haya soma kitabu kile cha wakati huo (lawino)
 
Back
Top Bottom