Hivi mlenda una virutubisho vyovyote au watu wanakula ili wasife?

Nakujibi kwa kukuuliza swali;

Kwa mfano, mlenda umepikwa kwa bamia na msusa!

Tuje kwenye virutubisho;

Je, ni virutubisho gani ambavyo vinapatikana kwenye bamia na msusa ( mboga za majani za kijani)? au hakuna virutubisho vyovyote?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nazungumzia ule mkavu. Maua au majani ya kukausha.
 
Mkuu magadi hii Ni ya aina gani ??chmvi au sabuni
Nenda dukani kwa mangi nunua magadi pakti shi 100
wewe ukifika dukani mwambie mangi nipe magadi ya tshs 100
kama unaishi ushuani masaki pole sana
inakupasa ufunge safari mpaka TANDALE KWA MTOGHOLE dukani kwa mpemba
unakijua kisa cha mpemba kilichotokea TABATA basi huyo mpemba dukani kwake anauza hayo magadi kwa tshs 100
MADEBOOOO
 
Kabla ya yote hiyo ndio TIBA namba 1 ya VIDONDA VYA TUMBO, bamia la 300 lililoungwa na magadi ya Tsh 100 ni au ukipenda unaongeza na nyanya chungu tiba kubwa ya vidonda vya tumbo.

Kama wewe unaumwa au nduguyo anaumwa ale ugari na mlenda mchana kwa kipimo hicho kisha ashushie na glasi 1 juisi fresh ya parachichi.

Ninakuhakikishia 100% anapata NAFUU hapo hapo baada kumaliza huo mlo na kinywaji hicho na akila hivyo bila kuacha kwa muda wa wiki 1 mpaka 2 huku kila usiku au asubuhi akinywa glasi 1 ya maji yalichanganywa na magadi anapona kabisa.
Haitibu UTI sugu bro
 
Haitibu UTI sugu bro
Haitibu mkuu

Ila tiba ya UTI sugu ipo ila kwanza ni mpk uende HOSPTALI kubwa ya serikali ya WILAYA au mkoa if possible MUHIMBILI uonane na SPECIALIST ufanyiwe kipimo cha URINE CULTURE na kipimo cha FULL BLOOD PICTUTER na ULTRA SOUND ikiwezekana na urethrogram kisha lete majibu nitakuelekeza dawa safi kabisa mujarabu utapona kabisa
 
Acha utani, hiyo sidhani kama ni halisia ingekuwa hivyo pale Singida na Manyara mabinti wengi wangekuwa na utelezi sana maana kwa kula bamia wanaongoza
Mimi nasemea experience yangu binafsi hao wa Singida sijui Mimi naongelea hasa mlenda wa bamia zaidi na sio ule wa singida wa kukaushwa
 
Yes hasa wa bamia ule, inasaidia sana, hata ukikata bamia na kuloeka kwa maji then unywe unasaidia sana kule ukavu kunakuwa wet, pia kwenye joints za mwili na ule Ute ute na wanawake inasaidia kutokuchanika.
Taratibu mama unanitia genye
 
Back
Top Bottom