Hivi mkoje nyie wanaume

Makunga

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
771
551
Mnaniboa sana nyie wanaume mnaojidai kutafuta wachumba kwa kuweka sifa ambazo mtadhan hao wadada nyie ndo mnawaumba,eti mara nataka mchumba awe na hips kubwa,mara mweupe,sijui masaburi makubwa,mara sijui matiti yakoje,mara eti wa kunipoza moyo.Najiulza hv mnakuwa na nia ya kupata wachumba au mnatafuta wa kuchezea tu na hapo ndipo napata mashaka na uwezo wenu wa kutongoza kwsbb haiwezekani jamii yote inayokuzunguka ukose unae mtaka.Mnaboa sana yan mnatufanya wadada kama vile bidhaa fulan dukani,acheni hizo!!
 
Si ndio hapo sasa Arabianf,kiukweli wananiboa sn as if sisi wadada ni malighafi flan.Mbaya zaidi wanatoa hizo sifa bila kujua kuwa kama kuna mtu anagharamika kumg'arisha huyo mdada!
 
Its just a matter of selection.mbona hata na nyie mnaselect.hata kama mtu na mbaya ana criteriz zake tht he she nids to meet.kwani kwa mfano mtu mwenye sura mbaya ndio anunue nguo ambayo ni mbaya kama yeye?kila mtu anahitaji kitu kizuri to satisfy th desire ndio mana anaweka vigezo.hata na wewe una vigezo vyako tht u ranked top!
 
Kila mtu na wa kwake, yani kama hujapata anaye toa kasoro ujuwe wako.

Wazuri wanaolewa na ma handsome men.

Wabaya wanaolewa na ma ugly men.

Ngoma ndo inavyo kwenda...huwezi kubadili dunia ikaenda unavyo taka wewe.
 
Umeona mabandiko ya wanaume kutaka wanawake tuu?? Mbona wote wanaweka vigezo vyao?? Kwani wewe hauna vigezo vyako kwa mwanaume umtakaye au uliyenaye?? (kama yupo). Naona umekuwa one sided badala ya kulisemea kwa pande zote, maana humu JF nimeona mabandiko mengi ya wanawake kutafuta wanaume na kwa vigezo vyao.
 
Hee,we Bumpkin b,mi ninae na ninameet vigezo vyote.But kinachoniboa ni kuweka sifa zilizopitiliza ambazo kwa binadam wa kawaida kuwa nazo inakuwa ngumu,labda wa kichina au jini.kutoa vigezo si ishu,ila basi muwe mnaweka vigezo reasonable ambavyo vinaonesha mtu yuko serious. NB:Mimi tayari nimeshaolewa so kwa post hii msidhan natafuta,mm nilishaonwa siku nyingi.
 
...dahh? mbona mkali hivyo bana...kuna wanaokidhi viwango vyote tajwa,
kupanga ni kuchagua jamani, kila mtu na uchaguzi wake....ndio demokrasia hiyo!

...mie akishakuwa na mwanya basi [siri yake naijua mie] mengine yatafuatia...:A S-coffee:
 
Sifa zp zimepitiliza? Umetoa mfno wa hips kubwa..matiti ya hv..mbna minaona ni za kawaida tu. Inawezekna sifa zinazowekwa humu nyingi ww huna that's y. Ishu nadhani ipo kwnye namna inner attributes za mtu zilivyo lkn kwa maumbo na muonekano mbna wapo kibao tu...
Hee,we Bumpkin b,mi ninae na ninameet vigezo vyote.But kinachoniboa ni kuweka sifa zilizopitiliza ambazo kwa binadam wa kawaida kuwa nazo inakuwa ngumu,labda wa kichina au jini.kutoa vigezo si ishu,ila basi muwe mnaweka vigezo reasonable ambavyo vinaonesha mtu yuko serious. NB:Mimi tayari nimeshaolewa so kwa post hii msidhan natafuta,mm nilishaonwa siku nyingi.
 
...dahh? mbona mkali hivyo bana...kuna wanaokidhi viwango vyote tajwa,
kupanga ni kuchagua jamani, kila mtu na uchaguzi wake....ndio demokrasia hiyo!

...mie akishakuwa na mwanya basi [
siri yake naijua mie] mengine yatafuatia...:A S-coffee:

Mhhhh! Mbu nasubiri PM yako hapo kwenye rangi ya blue :):)

Last edited by a moderator:
Mi vigezo vyangu vi3, akipata vi2 namuoa:
1. Mzuri sn hadharani
2. Hodari sn jikoni
3. Malaya sn kitandani
Mwenye vigezo atleast vi2 aniPM.
Mine are too general, isnt it.
 
Mnaniboa sana nyie wanaume mnaojidai kutafuta wachumba kwa kuweka sifa ambazo mtadhan hao wadada nyie ndo mnawaumba,eti mara nataka mchumba awe na hips kubwa,mara mweupe,sijui masaburi makubwa,mara sijui matiti yakoje,mara eti wa kunipoza moyo.Najiulza hv mnakuwa na nia ya kupata wachumba au mnatafuta wa kuchezea tu na hapo ndipo napata mashaka na uwezo wenu wa kutongoza kwsbb haiwezekani jamii yote inayokuzunguka ukose unae mtaka.Mnaboa sana yan mnatufanya wadada kama vile bidhaa fulan dukani,acheni hizo!!
Hapo namimi sijakuelewa inamaana nanyie huwa mnachezewa??siyokupotezeana mda bali nikuchezewa kweli nanyie mnamisemo!
 
we unaonekana huna sifa hizo ndo maana unakasirika wcha hizo wee wivuhuuooooooooooooooooooo
 
sasa kwani tatizo liko wapi? Uchaguzi ni haki binafsi, kama ukiona huna vigezo vilivyotajwa potezea... Sijaona cha kukufanya uwashangae wanaume!
 
Mbu akija unistue niko kwenye kona ya pm hapo. Manake inawezekana huu mwanya wangu kama pengo haujakuwa evaluated.
Mhhhh! Mbu nasubiri PM yako hapo kwenye rangi ya blue :):)

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom