Hivi mke anaombwa ruhusa au anapewa taarifa?

Hivi mke anaombwa ruhusa au anapewa taarifa?

NDOA ni mahusiano kati ya mke Na mume.
Ili ndoa yako iwe nzuri Na idumu kuwa Na mahusiano mazuri Na mkeo.
Unatakiwa ummulize sababu za yeye kukasirika no kitu gani?
Na umwambia hivyo vikao vyenu vinahusiana na nini,
Na kumwambia tabia ya kukasirika huipendi.
Usije kuchanganya baina ya kukasirika Na wivu.
Labda anahisi unakwenda kwa mwengine.
Ushaurii
Mkeo mwambie kila kitu chako, aga kila ukitoka Na unasema wapi unakwenda.
Utaishi kwa rahaaa sannaaa katika ndoa yako
 
Ndugu zangu huwa inatokea muda mwingine nyakati za jioni natakiwa nijumuike na waname wenzangu.tukae vikao vya faragha ambavyo sio mara kwa mara.lakini kila nimpapo taarifa mwenza wangu anakasirika.sasa wenzangu huwa mnafanyaje.nataka nijue mwanaume anatoa taarifa au anaomba ruhusa kwa mkewe
Mwanamke anatakiwa apewe taarifa tu! akishaanza kujua misele yako hakuna utakalofanya
 
Inategemea na kazi unayofanya.Sio kila kitu mkeo anahusika.
 
Mwanamke anapewa taarifa tu sio kuombwa ruhusu aliniambiaga bro wangu.
Yeye alikua anaweza kudamka alfajiri akasepa bila kuaga then sa 10 jioni anapiga simu Nimefika ubungo nitarudi kesho. Mnabaki kushangaa shem analalama wee usiku kucha.. Sidhani kama kaacha hiyo tabia.
 
Mkuu mimi natoa taarifa tu cjawahi kuaga mana unapoaga inaleta maana ya kwamba unaomba ruhusa na anaetakiwa kuomba ruhusa ni mwanamke, kama vp ww kelele zk zisikutie tafran ww mpe taarifa tu ajue na sio vyenginevyo.
 
NDOA ni mahusiano kati ya mke Na mume.
Ili ndoa yako iwe nzuri Na idumu kuwa Na mahusiano mazuri Na mkeo.
Unatakiwa ummulize sababu za yeye kukasirika no kitu gani?
Na umwambia hivyo vikao vyenu vinahusiana na nini,
Na kumwambia tabia ya kukasirika huipendi.
Usije kuchanganya baina ya kukasirika Na wivu.
Labda anahisi unakwenda kwa mwengine.
Ushaurii
Mkeo mwambie kila kitu chako, aga kila ukitoka Na unasema wapi unakwenda.
Utaishi kwa rahaaa sannaaa katika ndoa yako
Hata kama naenda kugegeda demu mwngne
 
toa taarifa, halaf akiendelea kukasirika hata taarifa acha kutoa..!!
Unawajua wanawake wewe? Omba ruhusa tu kiujanja la sivyo utakula viporo siku si nyingi kwani ni wepesi kulipiza
 
Muage mpe heshima yake...akikataa mwambie ukweli kuwa umeaaga kwa kumthamini ila kakataa kuthaminiwa hutomuaga tena...ili ajue
 
Wanawake watu wa ajabu sana ukimpenda sn atataka akutawale wangu miaka ya nyuma nilikuwa namfanya km rafiki akajisahau.sasa wewe ukiwa unatoka unamwambia badae mke wangu huwezi kuomba ruhusa halafu punguza kucjeka cheka nae ili ajue wewe ni baba atabadilika hapo ujue anakuona km shoga yake Mwajuma

Ushauri murua, wanawake hawajui wanataka nn? Ukicheka nae sana anakuona wa kawaiiida sana , ukikomaa kigumu analalamika tena. They're very weak creatures on earth!! Over!!!
 
Kwanza umeoa au umeolewa maana kama umeolewa unaomba ruhusa ila tuliooa tunatoa taarifa tu .

Halafu hii niifafanue kidogo kuna wanaume yuko na Demu ambae yeye kiuchumi anakizidi na ukifanya mtoko unataka akuwezeshe hapo wewe umeolewa na lazima uulizwe maswali mengi sana .

Tuliooa sasa unatoa taarifa tu nafika hapo tako bar baadae .
 
Back
Top Bottom