Hivi mishahara ya Stanbic Bank na Standard Chartered Bank ipoje?

Hyo ni taasisi moja kwanza ujue hilo stanbic ni km branch ya standard charted kuhusu mishahara sijui ila ni moja kati ya banks wanalipa poa sana kuna jamaa yngu yupo huko anakula shavu hatari likizo huwa anaenda kutembea Dubai
 
Daah!!! Watu wanakula maisha wakati wenzangu na mimi likizo huwa tunaenda kutembea bush kwetu huko itulavanu.
 
Hyo ni taasisi moja kwanza ujue hilo stanbic ni km branch ya standard charted kuhusu mishahara sijui ila ni moja kati ya banks wanalipa poa sana kuna jamaa yngu yupo huko anakula shavu hatari likizo huwa anaenda kutembea Dubai

duh!
 
Kwenda Dubai likizo Ni maamuzi
 
Hyo ni taasisi moja kwanza ujue hilo stanbic ni km branch ya standard charted kuhusu mishahara sijui ila ni moja kati ya banks wanalipa poa sana kuna jamaa yngu yupo huko anakula shavu hatari likizo huwa anaenda kutembea Dubai
wateja wakuu wa tigo wanapatikana dubai.mchunguze vizuri huyo mshikaji wako ujue huko dubai huwa anaenda kufanyaje.
 
Hyo ni taasisi moja kwanza ujue hilo stanbic ni km branch ya standard charted kuhusu mishahara sijui ila ni moja kati ya banks wanalipa poa sana kuna jamaa yngu yupo huko anakula shavu hatari likizo huwa anaenda kutembea Dubai
Acha kupotosha., Stanbic na Standard Chartered ni taasisi mbili tofauti... Stanbic Bank Tanzania inatokana na Standard Bank ya Uingereza ambayo kwa Africa head office zipo South Africa inaitwa Standard Bank of South Africa.! Standard Chartered Bank ya Tanzania ni branch ya Standard Chartered ya London, Uingereza... so Standard Bank ambayo ndo Stanbic ni tofauti na Standard Chartered
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom