Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,629
- 9,737
Fafanua mkuu akuelewe pia itasaidia
Fafanua mkuu akuelewe pia itasaidia
Kianzio unachokizungumzia ni kipi?? In terms of Money, unaongelea kiasi gani?? Hebu wacha nifikirie vile vile unavyofikiria wewe na tutafika tuWana Jf wenzangu nawashukuru sana kwa maushairi yenu mazuri sana, lakini nitajiajiri na nn nawakati sina hata kianzio....!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kianzio ninachokizungumzia ni fedha, ningekuwa na fedha aidia ninayo ikiwemo ya Utalii n.k.... na uwezo wa kuisimamia ninao.. mkubwa sana. Ila sina namna kabisa....!Kianzio unachokizungumzia ni kipi?? In terms of Money, unaongelea kiasi gani?? Hebu wacha nifikirie vile vile unavyofikiria wewe na tutafika tu
Ameni....!Mkuu, nimesoma Uzi wako na binafsi sijaona ulipo kosea kama ulivyo tanabaisha kwenye heading....
Otherwise, Mungu akufanyie wepesi katika utafutaji na ufanikiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuandika vizuri andiko la kibiashara (Business proposals) tufanye kazi pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujakosea kitu,Naishi Arusha, nimemaliza Barchelor of business administration-accounting 2017, nimefanya training ya kutosha ya uhasibu nafahamu vitu vingi katika maswala ya kihasibu, naifahamu Excel vzr sana, nazifahamu system (tally & qwickbook), nimeongeza ujuzi wa UTALII na nina training ya kutosha kwenye kampuni moja hapa mjini Arusha upande wa Tour operations(Safaris sales costs, Reservations, good relations for customers, Hotels, lodges, & camps).
Niko tayari kufanya kazi na kampuni yeyote ndani /nje ya nchi. Naombeni mwenye uwezo wa kunisaidia anisaidie via # 0689-309695.
Kupitia training nilizobazo sihitaji kufundishwa kazi wala kusimamiwa maana ninauwezo wa kufanya kazi vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waoooh! Thanks 4 the good advise to me....!Hujakosea kitu,
Kwani kila jambo na wakati wake,
Kikubwa endelea kutafuta sana kazi,
Mtegemee sana Mwenyezi Mungu,
Na kuwa sana na subira
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana mkuu kwa changamoto.Bila Shaka mkuu umesoma module inayoitwa Business Administration Techniques ambayo ni core katika kozi uliyochukua,sasa mkuu nakuomba rejea katika hilo soma kuanzia pale kwenye Business ideas,what is idea...and so on check na mazingira yako ongeza hasira na maombi na uhakika hukosi cha kufanyaNaishi Arusha, nimemaliza Barchelor of business administration-accounting 2017, nimefanya training ya kutosha ya uhasibu nafahamu vitu vingi katika maswala ya kihasibu, naifahamu Excel vzr sana, nazifahamu system (tally & qwickbook), nimeongeza ujuzi wa UTALII na nina training ya kutosha kwenye kampuni moja hapa mjini Arusha upande wa Tour operations(Safaris sales costs, Reservations, good relations for customers, Hotels, lodges, & camps).
Niko tayari kufanya kazi na kampuni yeyote ndani /nje ya nchi. Naombeni mwenye uwezo wa kunisaidia anisaidie via # 0689-309695.
Kupitia training nilizobazo sihitaji kufundishwa kazi wala kusimamiwa maana ninauwezo wa kufanya kazi vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa na ahsante sana kwa ushauri wako.Pole Sana mkuu kwa changamoto.Bila Shaka mkuu umesoma module inayoitwa Business Administration Techniques ambayo ni core katika kozi uliyochukua,sasa mkuu nakuomba rejea katika hilo soma kuanzia pale kwenye Business ideas,what is idea...and so on check na mazingira yako ongeza hasira na maombi na uhakika hukosi cha kufanya
Ova