Mlenge
R I P
- Oct 31, 2006
- 2,125
- 2,318
1. Taasisi inahitaji kuajiri kwa ajili ya kugawanya majukumu na kufanya kazi ifanyike kwa ufanisi zaidi.
2. Nahitajika kuajiriwa b/cause mm nitakuwa chachu ya kampuni, nitasolve matatizo ya wateja mbalimbali, nitapambana kuisaidia kampuni kujipanua zaidi ili na mm niweze kulipwa na maisha yaendelee!
Sent using Jamii Forums mobile app
| Mwajiri anachotaka | Wewe Unacholeta | Maoni |
|---|---|---|
| Taasisi inahitaji kuajiri kwa ajili ya kugawanya majukumu | Nahitajika kuajiriwa b/cause mm nitakuwa chachu ya kampuni, nitasolve matatizo ya wateja mbalimbali, nitapambana kuisaidia kampuni kujipanua zaidi | Kampuni inaajiri kugawana majukumu. Wewe huna mpango na majukumu ya kampuni hiyo, unataka tu wakupe cheo cha kusolve matatizo ya wateja, na kupanga mipango ya kampuni kujipanua zaidi |
| na kufanya kazi ifanyike kwa ufanisi zaidi | ili na mm niweze kulipwa na maisha yaendelee! | Kulipwa ili na wewe uweze kujitutumua kwamba una kazi, ndicho kitu cha muhimu kwako. Kampuni inataka ufanisi au nini, we huoni ikikuhusu. Hii ndio alama kubwa ya unapokosea. |