Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,211
- 1,363
mmmhh....inashangaza kwa kweli....na maji pia bwerere......hebu ngoja tuone baada ya sikukuu itakuwaje...
Ha ha ha Hiyo ni kwa Ajili ya Eid, si Arusha peke yake hata miji mingine iliyokuwa inasurubiwa kama Mwanza, Mbeya na Kwenyewe umeme upo! Dah tena mmenikumbusha ngoja nikapige pasi maana washenzi hawaaminiki kabisa
habari ya sikukuu.....umesherehekea salama?......
Salama Salmin! Hukuniona jana Nilikuwa Nawakilisha kwenye Msikiti wa Kadafi Idodomya kwa kina @NYC

kwa kweli hata kwetu kule mwanza naona mambo si mabaya sana. ila wote tumeshakuwa na maradhi ya wasiwasi yaani tunaogopa mpaka kwa nini umeme haukatiki. mtendaji mmoja hapa kwetu alitaka kuwapigia tanesco kulikoni. wamesahau au, mana kama wamesahau wakija kumbuka inabidi tuandike maumivu afadhali tu kama ndo utaratibu wao waendelee tu kukata km wenzetu. teh teh!

ivi jamani pengine kama kuna wataalamu humu ndani watujuze,, ni njia zipi zilizotumika kufikisha umeme maeneo mengi wakati hiki wa kipindi cha sikukuu hizi,, na kwanini njia hizi hizi zissiendelee kutumika????

Mkuu tatizo la umeme ni la kisiasa zaidi na sio la kiufundi. Ndio maana hata siku za bajeti ya marudio ya bajeji ya ngeleja, umeme uliwaka siku 3 na baada ya hapo, umeme ukaongezeka mgao!
kweli bana! wameshachukua...Maumivu yako palepale! subiri uone siku ya tarehe 2 September baada ya sikukuu ya Idd kuisha!