Hivi mgao Arusha umeisha au ni mema ya sikukuu ya Iddi??

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,211
1,359
wakuu habarini za muda?? Tangia juzi usiku, umeme jijini arusha (maeneo niliyopo - kijenge, njiro na mjini katokati) haujakatika hata kwa dakika moja, je na sehemu nyingine pamoja na mikoa mingine hali ni hiyo hiyo??,,, je ni mgao kwishney?? Au favour maalum kwa ajili ya iddi? Maana sijasikia tamko lolote from tanesko, nijuzeni wakuu,,,
nawasilisha

mmmhh....inashangaza kwa kweli....na maji pia bwerere......hebu ngoja tuone baada ya sikukuu itakuwaje...

mmmhh....inashangaza kwa kweli....na maji pia bwerere......hebu ngoja tuone baada ya sikukuu itakuwaje...

Ha ha ha Hiyo ni kwa Ajili ya Eid, si Arusha peke yake hata miji mingine iliyokuwa inasurubiwa kama Mwanza, Mbeya na Kwenyewe umeme upo! Dah tena mmenikumbusha ngoja nikapige pasi maana washenzi hawaaminiki kabisa

habari ya sikukuu.....umesherehekea salama?......

Maumivu yako palepale! subiri uone siku ya tarehe 2 September baada ya sikukuu ya Idd kuisha!

Salama Salmin! Hukuniona jana Nilikuwa Nawakilisha kwenye Msikiti wa Kadafi Idodomya kwa kina @NYC

sikukuona bana......ningejua upo hapo ningekupitia twende tukasherehekee....hebu wahi kanyooshe nguo isije ikawa mizengwe saa hii

Hiyo ni TANESCO wamekupa mkono wa Idd mkuu na wale walioajiriwa kwa shughuli ya kukata wana hasira ile mbaya na kuanzia Ijumaa utaona watakavyoanza kukata umeme kwa mbwe mbwe. Mimi nawaombea hawa wakataji hata wapate malaria kali walazwe ili mgawo upungue kidogo

kwa kweli hata kwetu kule mwanza naona mambo si mabaya sana. ila wote tumeshakuwa na maradhi ya wasiwasi yaani tunaogopa mpaka kwa nini umeme haukatiki. mtendaji mmoja hapa kwetu alitaka kuwapigia tanesco kulikoni. wamesahau au, mana kama wamesahau wakija kumbuka inabidi tuandike maumivu afadhali tu kama ndo utaratibu wao waendelee tu kukata km wenzetu. teh teh!

hahahaahahahahahah,,, mkuu umenifurahisha sana,,, kweli huyo mtendaji ni noma, hadi anapiga simu wakate umeme?? Kweli tanzania patupu,,,

ivi jamani pengine kama kuna wataalamu humu ndani watujuze,, ni njia zipi zilizotumika kufikisha umeme maeneo mengi wakati hiki wa kipindi cha sikukuu hizi,, na kwanini njia hizi hizi zissiendelee kutumika????

Mkuu tatizo la umeme ni la kisiasa zaidi na sio la kiufundi. Ndio maana hata siku za bajeti ya marudio ya bajeji ya ngeleja, umeme uliwaka siku 3 na baada ya hapo, umeme ukaongezeka mgao!

Mkuu tatizo la umeme ni la kisiasa zaidi na sio la kiufundi. Ndio maana hata siku za bajeti ya marudio ya bajeji ya ngeleja, umeme uliwaka siku 3 na baada ya hapo, umeme ukaongezeka mgao!

asante mkuu,,, kwa ulivyonena hapa, hata mimi naanza kuamini kuna siasa sana kwenye huu mgao sasa

Wafanyakazi wote wa Idara ya Ukataji Umeme ya Tanesco waliipewa likizo ya Eid kuwapongeza kwa kazi nzuri wanayofanya. Sasa wamerudi ofisini leo. Wana Hasira kama Sheikh Alielishwa Nguruwe, subirini muone sasa

Mgao nasikia inaanza upya ukizingatia siku 3 bwerereeee yani inaanza kuanzia 10:00am mpk jumapili ndiyo 2pate umeme. ILA NTASIKITIKA SANA KUONA WAZIRI MKUU ALIVYODANGANYA UMMA YA KWAMBA TAR 30/08/2011 MGAO KWISHA HALAFU LEO 2KO HV. Cjui kwa kweli yeye anafikiria nini halafu baadae akiulizwa analalama kama kuku anayetaka kutaga. Lakini mwisho wao utafika tu!

Kama umeme haupo / hautoshi na ndio kisa cha mgao, huo uliopatikana siku 3 mfululizo umetoka wapi? Nahisi umeme upo ila magwanda wanatufanyia mbaya tu. Babra masoud aeleze basi ni mtambo gani uliowashwa kwa ajili ya sikukuu ya idd.

mi nashangaa maana maeneo yote ya arusha yanaumeme toka j4,inawezekana mgao ni kushney ama ni eid.ngoja tuone leo kama utakuwepo ama vp

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom