Hivi Membe anajua alichofanywa Gaddafi kabla ya risasi?

kumbe ukiwa muislam mshika dini unawaadhibu wakengeufu kwa kuwalawiti. Safi sana. Dini ya shetani inajulikana kwa matendo yake
 
Kuna watu wabishi kweli. Mbona Youtube video zipo nyingi tu?

Ila hapa hamuwezi kuziona maana inabidi ujisajili na u-Log in kwenye Youtube kama mtu mzima.

Ngoja tu niwawekee picha. Ila hadi sasa haijajulikana kama kilikuwa kijiti au kisu.

179008-gaddafi-sodomized-by-rebel-after-capture.jpg
(Photo: Photo: video screenshot/Global)
 
Aliyofanyiwa mimi siungi mkono ila nadhani Gaddafi mwenyewe aliyaunga mkono kwa vile ndiye aliyewatengeneza watu wake hadi kufikia kumfanyia hivyo. Kiongozi wa watu na anayewaheshimu watu wake hawezi kufanyiwa hivyo hata na wendawazimu.
Pengine hili ni somo tosha kwa viongozi wengine,maana wapo wanaojisahau sana pengine kuelekea kuwa na tabia za kujiona wao ndio mwisho. Jee nao wanataka wafikie hatua ya kulawitiwa hadharani na vichaa watakaowaondoa madarakani kwa nguvu. CHAGUO NI LAO
 
MUOMBE SANA MUNGU WAKO UNAEMUABUDU
KITENDO CHA KULAWITIWA
NI CHA KINYAMA NO MATTER WHAT
HATA KAMA GADAFI ALIFANYA
UHARAMIA KUMUUA,KUMLAWITI
SIJUI BLAA BLAA BLAA
MUNGU NDIE PEKEE ANAETAKIWA
KUHUKUMU. HATA UKIDAKWA NA MUME/MKE
WA MTU WAWEZA KULAWITIWA ATII
KEEP ON PRAYING


UOTE=Sikonge;2714104]Hata Tanzania kuna watu wanatakiwa siku moja WALAWITIWE.

Nimeipenda sana hii....... Mnatafuta DODOKI na kufanya kweli.

Tatizo kama alivyokuwa Ghadafi, wao wanaona hiyo wao haiwahusu.

TIME WILL TELL.
[/QUOTE]

wanyama gani wanao lawitiana? Acheni kuwasingizia wanyama.
 
Weee Dada Flora, kama kweli wewe ndiyo ungelikuwa huyu dada hapa chini, sasa hivi ungelisemaje?

Ungeliendelea kumuomba Mungu wako ili ampe Ghadafi maisha marefu?

Midume imekunajisi kwa kila aina ya uchafu kwa siku kadhaa na mwisho ungelisemaje?

Ahh, unidake na mke wa mtu? NEVER, nawakimbia wake za watu kama ukoma.

Mume wa mtu mie siyo Shoga na kwa hilo tu hutanipata milele.



MUOMBE SANA MUNGU WAKO UNAEMUABUDUKITENDO CHA KULAWITIWANI CHA KINYAMA NO MATTER WHATHATA KAMA GADAFI ALIFANYAUHARAMIA KUMUUA,KUMLAWITISIJUI BLAA BLAA BLAAMUNGU NDIE PEKEE ANAETAKIWAKUHUKUMU. HATA UKIDAKWA NA MUME/MKE WA MTU WAWEZA KULAWITIWA ATIIKEEP ON PRAYING
 
Last edited by a moderator:
Mmm hii kali ndugu zangu.Yaani wana msodomize halafu wanaita ALLAHA WAKBARU(MUNGU NI MKUBWA).Ndo maana Gadafi alijenga misikiti mingi Tanzania akijua sisi ni Waislamu safi kuliko wa kule Libya
 
huo ni mwanzo wa kuwa na serikali isyo ya kidemokrasia Libya. Duru za kisiasa zinasema mpango wa kuuwa kwake ulishapangwa na NTC
na hao NTC ni vibaraka wa kimarekani na ulaya. mmeona wenyewe marekani washaanza kupeleka vikosi vyao kudai kukagua silaha na kiongozi wa NTNC ameomba Nato waendelee kubali Libya sijui kufanya nn tena.
kwa miaka 2 ijayo libya itakuwa zaidi ya somalia na vita vya wenyewe kwa wenyewe havitakoma na matarajio yao hayatatimia.
 
Nimeona mkuu aliingiziwa mtarimbo matakoni halafu akawa anaukatikia ili asife ,inaelea gadafi alikuwa shoga huwezi kukaa vile kwenye ule mjiti.
 
Kwani huko Libya hawana chombo mahususi kama BAKWATA??? Yaani kwa kweli wamemdhalilisha
 
Clip hii ya kulawitiwa kwa Gaddafi, imelifanya jina la Gaddafi kutia kinyaa! Je, haiwezekani Msikiti mkubwa wa Dodoma unaoitwa Gaddafi; ukabadilishwa jina, ili kulinda heshima ya Waislamu wa Tanzania? Ikumbukwe kwamba hapo ndipo palipofanyikia Baraza la Idd 2011!
 
NIMEPATA KUONA PICHA YA KUTISHA KWENYE MTANDAO WA YouTube - Broadcast Yourself. kwenye kichwa VIDEO SHOWS MUAMMAR GADDAFI BEING SODOMIZED. WAASI WA LIBYA WALIMKAMATA GADAFI AKIWA HAI NA KUMULAWITI KWA ZAMU KAMA SEHEMU YA KULIPA KISASI KABLA YA KUMUPIGA RISASI.

GADAAFI ALIPOLALAMIKA KUWA WANAMTENDEA KINUME NA MAFUNDISHO YA ALLAH WAKAMWAMBIA KUWA YEYE SIO MUISLAMU NA HIVYO HASITAHILI KULALAMIKA.

PIA WAASI HAO WALIIWEKA MAITI YA GADAFI UCHI NA HADHARANI TOFAUTI NA IMANI YA ALLAH AMBAPO MAITI ZOTE ZA WAISLAMU HAZITAKIWI KUONEKANA .

MAZISHI YA GADAFI YAMEFANYIKA NJE YA IMANI YA WAISLAMU , NA WAISLAMU KATIKA NCHI ZA UARABUNI HAKUNA ALIYE LALAMIKA ZAIDI YA BENADI MEMBE.
NI JAMBO LA AJABU KWA MEMBE KUMUTETEA GADAFI AMBAYE HATAKIWI NA UMMA WA WAISLAMU NA UARABUNI KIASI CHA KULAWITIWA.

SERIKALI YA TZ WAKATI WA NYERERE ILIMUCHUKIA SANA IDD AMINI KWA KUTULETEA VITA AKISAIDIANA NA GADAFI.
UCHUMI WA TZ ULIYUMBA KIPINDI HICHO CHA VITA AMBAPO PESA KUBWA ILIPELEKWA KUNUNUA SILAHA BILA KUZALISHA.
ASKALI WA GADAFI WALIKAMATWA NA NGEGE YAO ARUSHA WAKATI WANAJIAANDAA KUHUJUMU TZ.

SASA INAKUWAJE MEMBE AMULILIE GADAFI ????

KAMA MEMBE ANA UCHUNGU NA WATU WANAO KUFA NI KWANINI ASIMULILIE OSAMA BIN LADEN AMBAYE PIA ALILIPUA UBALOZI WA MAREKANI??


KATI YA GADAFI NA OSAMA NANI KALETA MAAFA MAKUBWA KWA WATANZANIA??


OSAMA KALIPUA UBALOZI WA MAREKANI TZ WAKATI GADDAFI KASAIDIANA NA IDDIANI NA KUUA ZAIDI YA WATANZAINIA 10,000 BUKOBA WAKATI WA VITA.

ANGALIA GADAFI ANAVYO LAWITIWA UPATE UKWELI

Usilipize baya kwa baya bali kwa jema
 
Hata Tanzania kuna watu wanatakiwa siku moja WALAWITIWE.

Nimeipenda sana hii....... Mnatafuta DODOKI na kufanya kweli.

Tatizo kama alivyokuwa Ghadafi, wao wanaona hiyo wao haiwahusu.

TIME WILL TELL.

Mkuu embu nijuze hao watu wanaotakiwa nao kufanyiwa hivyo
 
NIMEPATA KUONA PICHA YA KUTISHA KWENYE MTANDAO WA YouTube - Broadcast Yourself. kwenye kichwa VIDEO SHOWS MUAMMAR GADDAFI BEING SODOMIZED. WAASI WA LIBYA WALIMKAMATA GADAFI AKIWA HAI NA KUMULAWITI KWA ZAMU KAMA SEHEMU YA KULIPA KISASI KABLA YA KUMUPIGA RISASI. GADAAFI ALIPOLALAMIKA KUWA WANAMTENDEA KINUME NA MAFUNDISHO YA ALLAH WAKAMWAMBIA KUWA YEYE SIO MUISLAMU NA HIVYO HASITAHILI KULALAMIKA.PIA WAASI HAO WALIIWEKA MAITI YA GADAFI UCHI NA HADHARANI TOFAUTI NA IMANI YA ALLAH AMBAPO MAITI ZOTE ZA WAISLAMU HAZITAKIWI KUONEKANA .MAZISHI YA GADAFI YAMEFANYIKA NJE YA IMANI YA WAISLAMU , NA WAISLAMU KATIKA NCHI ZA UARABUNI HAKUNA ALIYE LALAMIKA ZAIDI YA BENADI MEMBE.NI JAMBO LA AJABU KWA MEMBE KUMUTETEA GADAFI AMBAYE HATAKIWI NA UMMA WA WAISLAMU NA UARABUNI KIASI CHA KULAWITIWA.SERIKALI YA TZ WAKATI WA NYERERE ILIMUCHUKIA SANA IDD AMINI KWA KUTULETEA VITA AKISAIDIANA NA GADAFI.UCHUMI WA TZ ULIYUMBA KIPINDI HICHO CHA VITA AMBAPO PESA KUBWA ILIPELEKWA KUNUNUA SILAHA BILA KUZALISHA.ASKALI WA GADAFI WALIKAMATWA NA NGEGE YAO ARUSHA WAKATI WANAJIAANDAA KUHUJUMU TZ.SASA INAKUWAJE MEMBE AMULILIE GADAFI ????KAMA MEMBE ANA UCHUNGU NA WATU WANAO KUFA NI KWANINI ASIMULILIE OSAMA BIN LADEN AMBAYE PIA ALILIPUA UBALOZI WA MAREKANI??KATI YA GADAFI NA OSAMA NANI KALETA MAAFA MAKUBWA KWA WATANZANIA??OSAMA KALIPUA UBALOZI WA MAREKANI TZ WAKATI GADDAFI KASAIDIANA NA IDDIANI NA KUUA ZAIDI YA WATANZAINIA 10,000 BUKOBA WAKATI WA VITA.ANGALIA GADAFI ANAVYO LAWITIWA UPATE UKWELI
unajua katika maisha haya ya kawaida watu au mtu kama wewe anayeshabikia kifo cha mwenzake kwa upande wangu nashindwa hata nikuweke kwenye kundi gani. kwa upande wangu naona hata kama wewe ungepata nafasi ya kuwa Libya ungemfanyia hicho NTC walichomfanyia, tena wewe inaonyesha ungemfanyia kweli kuwa kutumi u.......e wako kabisa maana unafurahia mwanadam mwenzako kufanyiwa kile alichafanyiwa Gaddafi. Vitabu vitakatifu vinasema usihukumu usije ukahukumiwa yeye kafanya zamu yake na kamaliza kwa style yake nawe fanya zamu yako au wewe zamu yako ni kuhukumu wengine? baada ya muda si mrefu ukweli wote utajulikana maana wengine hamsomi mmekaa kishabiki tu, bbc au aljazeera wakitangaza kitu unachukulia huo ndio ukweli, soma upate maarifa na ujue mambo na usiangalie mambo juu juu utahukumu bila kumtendea sawa binadam mwenzako.Kama hujui ni afadhali unyamaze, mji wote ule wa libya au nchi yote ya Libya ni matunda ya Gaddafi, kuanzia na huduma zote wanazotumia walibya ni alama ya ushindi kwa Gaddafi labda wavunje miundombinu na chochote kile alichojenga Gaddafi waanze moja ndio watafuta hiyo historia. ama kweli nabii hatukuzwi kwao. wenzetu wanafanya uharamia zaidi ya huo ili kutawala dunia nakushauri tafuta kitabu kimoja kinaitwa ENEMY UNMASKED kimeandikwa na Bill Hughes utajua ni kwa nini haya yanayotokea yanatokea sasa. Nilipata copy hiyo kwa bahati nikiwa Arusha mwaka 2006 August.fikilia kama huyo ni baba yako na kafanyiwa hivyo unajisikiaje? kuwa na roho ya kibinadamnawasilisha
 
Porojo za walevi zahamia JF!

Mkuu hii mbona hipo hata vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani. Soma Metro ya jana (26/10/2011) upate habari yenyewe. Usiseme tu eti ni maneno ya walevi. Kweli walimfanya kitu mbaya. Nawashangaa wanaolahani, mnajifanya mna uchungu naye sana kuliko watu wake? Fundisho kwa wanaojifanya munguwatu.
 
amepata haki yake kabisa, ukiishi kwa kuwatendea wenzio ubaya ni lazima na wewe upate mabaya
 
Jamani sio kua waalimlawiti kati ya kuingiliana kimwili kati ya mwanaume kwa mwanaume! Ukiangalia vizuri hiyo clip utaona kua Gaddaff kwanza anatoka damu sehemu za mikononi baada ya kupiga sana baada ya hapo ndipo wakawa wanamdhihaki kwa kumuwekea kijiti sehemu za makalio lakini yote hayo nikua walimdhalilisha vyakutosha na kama kama kuna adhabu nyingine huko kwa Mola basi ya Huyu jamaa hapa duniani ilimtosha. R.I.P Gaddaff.
 
Back
Top Bottom