Hahaa mito isijekuwa tunafahamiana aisee...huyo dada B mbona kama mimi
Mito kulikoni mpaka mapovu yanakutoka sana leo umekereka na nin sis kunuka
hivi unajua kuwa mwanadamu ni mavumbi na hayo mavumbi ndo yanayonukaa
kusema ukweli mimi sijakereka bali sijakuelewa.
kama wewe ni me jaribu kujichunguza kidogo maana unavi element vya um....b..ea na mi ...si..fa. yaan hapa umetoka kwenye mada unatuletea story za ndege. ck hz ndege ni km bodaboda. haya sasa tushajua class yako. ila kama ni ke si mbaya sana maana biashara matangazo kwan kunake wengi wanahis huolewa kwa status.
Ha ha ha ha ha ukinitoa hautapata wa kunireplace
Ukiona hivyo nimekereka mbaya dadaangu, hainiingii kichwani mdada unaachaje kunukia bana!!
Your are right, lakini yaani hadi uko mashuleni sijuie maofisini wameshindwa kuiga kwa wenzao aisee
Marahaba sista, unataka za Xmas au za pafyumu?
Mmh asinipe mie tena dadake kipenzi weee. Afu my kaka mito kuna sehemu tumekuita wee hata hujafikaPafyumu tulishakubaliana usinipe hela kabisaaa, ulete tu pafyumu, nataka za sikukuu, ila Heaven Sent usimpe.
Mmh asinipe mie tena dadake kipenzi weee. Afu my kaka mito kuna sehemu tumekuita wee hata hujafika
Hehehe umeshikwa ukashikika, ngoja aendelee kukushika hadi wewe ndo uwe unamuhongaBaba yako yuko wapi? Mwambie huyo karumanzila wake nitamfungia kwa maombi, akomee mie kila wakati kumuwazawaza tuuu na wakati hata hela hanipi
Pafyumu tulishakubaliana usinipe hela kabisaaa, ulete tu pafyumu, nataka za sikukuu, ila Heaven Sent usimpe.
Pafyumu tulishakubaliana usinipe hela kabisaaa, ulete tu pafyumu, nataka za sikukuu, ila Heaven Sent usimpe.
Mmh asinipe mie tena dadake kipenzi weee. Afu my kaka mito kuna sehemu tumekuita wee hata hujafika
Baba yako yuko wapi? Mwambie huyo karumanzila wake nitamfungia kwa maombi, akomee mie kila wakati kumuwazawaza tuuu na wakati hata hela hanipi
Hehehe umeshikwa ukashikika, ngoja aendelee kukushika hadi wewe ndo uwe unamuhonga