kipindi anafanya field east africa radio na msimamizi wake alikua mussa husseinAlisoma lini?
Jamaa naona ndo kazi aliyonayo saivi.Ameamua akapashe kidogo ili kuongeza msuli wa kunyamatika.
View attachment 3408569
Mauled Kiteenge tangu radio 1 na ITV asiwe na vyeeti punguzeni basi labda ukiniambia Chawa Zembwela nitakuelewa akaungane na Dotto Magali kule dalali alieishia darasa la 2CHawana vyeti wameenda kusoma tena
Ithibati mkuuHawa jamaa wa minyama siku hizi siwasikii redioni. Maulid Kitenge yeye namuona yuko busy na jogging tu kila siku.
Je, wamefukuzwa au wako likizo?
Mwijaku vepee?Hawa jamaa wa minyama siku hizi siwasikii redioni. Maulid Kitenge yeye namuona yuko busy na jogging tu kila siku.
Je, wamefukuzwa au wako likizo?
Aliondokaga na zero, Form four Muslim kinondoni. Na huenda labda hilo jina la Maulid Kitenge siyo lake.Mauled Kiteenge tangu radio 1 na ITV asiwe na vyeeti punguzeni basi labda ukiniambia Chawa Zembwela nitakuelewa akaungane na Dotto Magali kule dalali alieishia darasa la 2C
huenda alisoma basic certificate au advance certificate. lakini sheria inataka uwe na diplomakipindi anafanya field east africa radio na msimamizi wake alikua mussa hussein
Yaan zero sifuri bila Cheti sasa kazi alipataje ni Millard part 2?Aliondokaga na zero four Muslim kinondoni. Na huenda labda hilo jina la Maulid Kitenge siyo lake.