Hivi Mariamu Ditopile (MB) ni mtoto wa yule Ditopile Mzuzuri aliyesababisha ajali pale Lugalo Kawe?

Tena angejua kuwa usagaji sasa unafanywa sana,kati ya wanawaje 10 wa tanzania 7 ni wasagaji

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Since 80s na 90s mashine ya boarding wanawake wamesagana sana… sema ilikua siri tu

Ni kaamua tu kuonyesha chuki na kundi fulani la watu

huko kwetu uswazi kwenye vigodoro na mashenzini hii ni order of the day
 
Nimesoma boarding kuanzia 2005 had na 2012 hakukuwa na hizo mambo hata kulala kitanda kimoja ilikuwa marufuku kabisa labda enzi hzo zenu aisee
 
Mariamu Ditopile mbunge
Ramadhan Ditopile yuko mambo ya nje siku akipewa ubalozi atafunguliwa uzi

Wa tatu seleman ditopile ..
 
Back
Top Bottom