Hivi Mariamu Ditopile (MB) ni mtoto wa yule Ditopile Mzuzuri aliyesababisha ajali pale Lugalo Kawe?

Sawa.....

Gwajima atakuwa na jumapili nyingi kweli za KUWATANDIKA BAKORA makomredi wa CCM.....

Huyo Mh.Mariam Ditopile si mwepesi kisiasa kwa kuwa tu ni wa viti maalum.....kule viti maalum Kuna chujio....kuna mchakato mkali na mgumu wa UCHAGUZI....

Mh.Mtunduizi Kirumbe Ng'enda amejitoa "dhabihu" ya kushambuliwa naye....

Kweli Gwajima amejipa kazi ngumu ITAKAYOMSHINDA.....

HASHTAG CCM IMFUKUZE GWAJIMA

#SiempreCCM
#ChamaKwanzaKablaYaYeyote
Kazi ngumu wapi wewe??. Gwajima ni jeshi la mtu mmoja anaweza tu kuwavuruga wote,si unaona SPIKA mwenyewe ameshaanza kujichanganya Kwa Kauli zake hadi kuomba radhi?!!. Hiyo tu ni dalili mbaya kwa wapinzani wa Gwaji boy.
 
Kazi ngumu wapi wewe??. Gwajima ni jeshi la mtu mmoja anaweza tu kuwavuruga wote,si unaona SPIKA mwenyewe ameshaanza kujichanganya Kwa Kauli zake hadi kuomba radhi?!!. Hiyo tu ni dalili mbaya kwa wapinzani wa Gwaji boy.
Endelea kusubiri....nasi tunasubiri....
 
Ditopile alisababisha ajali? Weka facts zako sawa. Alimpiga dereva wa daladala aliemletea ujuaji risasi ya kichwa kwa hasira.
Babu yangu aliwai kuniambia kipindi cha vita ya kagera kuna operations ndogo ndogo nyingi na muhimu zilizokuwa zinapangwa na mzuzuri na askari walikuwa wakisikia wanaenda kwenye operation chini ya huyo mwamba wanakuwa na morali zaidi, inasadikika mzuzuri ni moja ya watu waliokuwa na uwezo mkubwa saana wa kupanga operations hatari kwa adui
 
Back
Top Bottom