Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Kinachonikera ni kukuta taasisi fulani ya wizara imejaa masters na PHD holders lakini huoni efficiency inayoendana na titles unazokutana nazo.
Bado njoo kesho ni ugonjwa wetu. Bado movement ya mafile haina kasi kubwa. Mazingira ya uwepo wa rushwa bado yapo.
Uhalalishaji wa taaluma za watu wala hauonekani kuwepo. Hoja ya kwamba titles za wasomi wetu kuwa ni za magumashi, inapata nguvu kwa aina ya utendaji wa taasisi nyingi za kiserikali.