Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 2,939
- 5,026
Sasa kwanini wengine wanayachukia mapenzi?Mapenzi ni burudani
1. Jipende sana wewe binafsi.Wengine wanasema mapenzi matamu hakuna mfano hasa mkitokea kupendana, kuaminiana, kuheshimiana nk
Wengine waliowahi kutendwa hawataki hata kusikia habari za mapenzi,
Wengine wamepoteza maisha kwa sababu ya vivu wa kimapenzi,
Wengine waliwasomesha wapenzi wao kwa gharama kubwa mwisho wa siku wapenzi wakaolewa na wanaume wengine. Wakaja na msemo kuwa mchumba hasomeshwi.
Wengine wanasema kataa ndoa π π π
Wengine wanasema mapenzi ni upofu, unaweza kumpenda tajiri au masikini,
wengine wanasema siwezi ishi bila yeyeπ
Wengine wanasema najuta kumfahamu
Wengine wakasema He\She drives me crazyπ
Wengine wakasema nikilala nakuota, nikinywa maji nakuona kwenye glassππ
Haya mapenzi yana visa vingi vya kufurahisha na kuhuzunisha, je kwa upande wako wewe mapenzi ni kitu gani?
Hadi nimecheka kwa sautiπππππ
Ukiyaweka kwenye userious utafikia huko.Sasa kwanini wengine wanayachukia mapenzi?
SCAM SCAMWengine wanasema mapenzi matamu hakuna mfano hasa mkitokea kupendana, kuaminiana, kuheshimiana nk
Wengine waliowahi kutendwa hawataki hata kusikia habari za mapenzi,
Wengine wamepoteza maisha kwa sababu ya vivu wa kimapenzi,
Wengine waliwasomesha wapenzi wao kwa gharama kubwa mwisho wa siku wapenzi wakaolewa na wanaume wengine. Wakaja na msemo kuwa mchumba hasomeshwi.
Wengine wanasema kataa ndoa π π π
Wengine wanasema mapenzi ni upofu, unaweza kumpenda tajiri au masikini,
wengine wanasema siwezi ishi bila yeyeπ
Wengine wanasema najuta kumfahamu
Wengine wakasema He\She drives me crazyπ
Wengine wakasema nikilala nakuota, nikinywa maji nakuona kwenye glassππ
Haya mapenzi yana visa vingi vya kufurahisha na kuhuzunisha, je kwa upande wako wewe mapenzi ni kitu gani?
Mapenzi si kama kitu cha Muchezoo oohπ§ππWengine wanasema mapenzi matamu hakuna mfano hasa mkitokea kupendana, kuaminiana, kuheshimiana nk
Wengine waliowahi kutendwa hawataki hata kusikia habari za mapenzi,
Wengine wamepoteza maisha kwa sababu ya vivu wa kimapenzi,
Wengine waliwasomesha wapenzi wao kwa gharama kubwa mwisho wa siku wapenzi wakaolewa na wanaume wengine. Wakaja na msemo kuwa mchumba hasomeshwi.
Wengine wanasema kataa ndoa π π π
Wengine wanasema mapenzi ni upofu, unaweza kumpenda tajiri au masikini,
wengine wanasema siwezi ishi bila yeyeπ
Wengine wanasema najuta kumfahamu
Wengine wakasema He\She drives me crazyπ
Wengine wakasema nikilala nakuota, nikinywa maji nakuona kwenye glassππ
Haya mapenzi yana visa vingi vya kufurahisha na kuhuzunisha, je kwa upande wako wewe mapenzi ni kitu gani?
Muulize Mwinjuma MuuminWengine wanasema mapenzi matamu hakuna mfano hasa mkitokea kupendana, kuaminiana, kuheshimiana nk
Wengine waliowahi kutendwa hawataki hata kusikia habari za mapenzi,
Wengine wamepoteza maisha kwa sababu ya vivu wa kimapenzi,
Wengine waliwasomesha wapenzi wao kwa gharama kubwa mwisho wa siku wapenzi wakaolewa na wanaume wengine. Wakaja na msemo kuwa mchumba hasomeshwi.
Wengine wanasema kataa ndoa π π π
Wengine wanasema mapenzi ni upofu, unaweza kumpenda tajiri au masikini,
wengine wanasema siwezi ishi bila yeyeπ
Wengine wanasema najuta kumfahamu
Wengine wakasema He\She drives me crazyπ
Wengine wakasema nikilala nakuota, nikinywa maji nakuona kwenye glassππ
Haya mapenzi yana visa vingi vya kufurahisha na kuhuzunisha, je kwa upande wako wewe mapenzi ni kitu gani?
Yeye mwenyewe alikosa majibuMuulize Mwinjuma Muumin
Alikosa majibuMuulize mbdog
Ova
Let love lead the wayHuu ni mwaka wa mapenzi aisee....kila uzi ni hayahaya
mapenzi,ni kitendo cha wajinga wawili,kuingiziana sehemu zao za siri,na kukaa uchi kwa pamoja huku wakifurahia tupu zao,kunyonyana ndimi na kuambukizana fangazi,kupeana U.T.I,UKIMWI,GONO,KASWENDE,KISONONO na PANGUSA,alf mwishowe kuachana bila sababu za msingi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Wengine wanasema mapenzi matamu hakuna mfano hasa mkitokea kupendana, kuaminiana, kuheshimiana nk