BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,211
Ngoja Leo niwape kisa kimoja Cha mshikaji wangu Fulani, tumuite diko. Diko ni house keeping pale hotelini, Yani watu wa usafi
Kipindi na hustle huku na HUKO kutafuta riziki. Nikapata kazi ya ulinzi kwenye hoteli MOJA kubwa.
Nikiwa pale hotelini sababu ya uchangamfu wangu, nilijikuta nimezoweana na mastaff wa pale, wengi walikua wanangu sana tunapiga stori za hapa na pale basi bhana.
Siku MOJA nikiwa pale alikuja demu mmoja, akamuulizia security mwenzetu wa pale, nika mwambia huyo jamaa Leo hajaja ila atakuepo siku nyingine, basi demu akaingia mle hotelini, mana alidai ye mwenyewe alikuaga mlinzi hapo ila aliacha.
Muda kidogo nikaona anatoka na mshikaji diko, huyu diko ni house keeping Yani mtu wa usafi hapo HOTELIN, wakasepa, mi nikaendelea na kazi zangu, Sasa huyo demu akawa anakuja mara kwa mara anasepa na mwana.
Siku MOJA nimekaa na diko tunapiga stori, nikajikuta na ropoka, vipi mwamba huyu demu anae kujaga hapa Huwa unaichapa, jamaa akacheka akadai ndio ni demu TU ALIKUA mlinzi hapa akaacha Huwa najilombea TU nikiwa na hamu ata sahii na muita, akachukua simu yake akapiga, simu ikaita hello, diko akadai, nipigie haraka Sina Salio sahivi, kwa jazba, demu akaitikia haya, sekunde TU demu kapiga akapewa maelekezo simu ikakatwa.
Diko akanishtua jambo, kuwa huyo demu ni mke wa mtu na ana watoto wa tano, na anaishi na mumewe, lakini ye akitaka k muda wowote anamlomba ni simu MOJA TU.
Kutokana na Hilo tukio,
Kuna muda Niki kaa najiuliza sana hivi mwanaume atumie njia Gani ili asilombewe, au mapenzi ni ya wahindi,sisi tumevamia?