Muarubaini
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 222
- 48
The truth and this is very natural ni kwamba huyo mke hakupendi. Hata kabla ya mimba alikuwa hakupendi. It is just like MLEVI akinywa pombe na kuanza kuongea matusi. Kinachotokea ni kwamba pombe inakuwa imempatia guts za kuongea lakini matusi yalikuwepo kichwani kabla hata ya kunywa pombe.mwanzoni hakuwa hivyo, ila sikuwa kuishi naye kwa muda mrefu akiwa hana mimba, sasa nashindwa kuelewa alificha makucha au ni kwa sababu ya mimba! Na mimba yenyewe ni kubwa. Mwenye exprience tafadhali ?
the truth and this is very natural ni kwamba huyo mke hakupendi. Hata kabla ya mimba alikuwa hakupendi. It is just like mlevi akinywa pombe na kuanza kuongea matusi. Kinachotokea ni kwamba pombe inakuwa imempatia guts za kuongea lakini matusi yalikuwepo kichwani kabla hata ya kunywa pombe.
Anzisha mada yenye mantiki. Kwa mawazo yako, unaona hii ni mada kweli?
Anzisha mada yenye mantiki. Kwa mawazo yako, unaona hii ni mada kweli?
Mwanamalundi happy new year! kwani umerogwa weye?? HAYAKUHUSU YA HUMU, KACHANGIE KWAKINA MZEE MWANA KIJIJI, MAANA NDIYE HASWAAAAAAA ROLE MODEL WAKO! LOLAnzisha mada yenye mantiki. Kwa mawazo yako, unaona hii ni mada kweli?
Mwanamalundi happy new year! kwani umerogwa weye?? HAYAKUHUSU YA HUMU, KACHANGIE KWAKINA MZEE MWANA KIJIJI, MAANA NDIYE HASWAAAAAAA ROLE MODEL WAKO! LOL
The truth and this is very natural ni kwamba huyo mke hakupendi. Hata kabla ya mimba alikuwa hakupendi. It is just like MLEVI akinywa pombe na kuanza kuongea matusi. Kinachotokea ni kwamba pombe inakuwa imempatia guts za kuongea lakini matusi yalikuwepo kichwani kabla hata ya kunywa pombe.
sure.........
na we umerogwa au?? kazi ipo wallahi!kweli duniani watu tuko tofauti sana mambo gani mnayoandika humu mtu ukitulia bila kuandika chochote utapungukiwa, maswala mengine mtu unatakiwa kuwa serius kama wewe unaona sio tatizo si ukae kimya ,usipende kuchafua hali ya hewa humu, mtu anatatizo anaitaji ushauri mtu anamwandikia utumbo ,mambo mengine ni kuwakatisha tamaa wengine kama unaona huna cha kushauri unapita kama wengine alaaa! USIPENDE KUTAFTA SIFA ZA KIJINGA HUMU JAMIIFORUM.
na we umerogwa au?? kazi ipo wallahi!
asante kwa ushauri mkuu.Muarobaini hiyo ni hali ya mimba na hakijifungua itaisha ni mabadiliko ya hormone kuna wanaopenda waume zao wakati kama huo na wapo wanaowachukia tena zaidi katika siku za mwishoni yani ye kila kitu kwake anaona kama usumbufu na ukizingatia anakuwa amechoka mwelewe na umchukulie poa, ushauri wa kua hakupendi si wa kweli na hata baada ya kujifungua utaona umbali kati yako na yeye unakuwepo mapenzi anakuwa kahamishia kwa mtoto ni kitu cha kawaida japokuwa wanawake wengi wanajisahau sana.
Anzisha mada yenye mantiki. Kwa mawazo yako, unaona hii ni mada kweli?
Anzisha mada yenye mantiki. Kwa mawazo yako, unaona hii ni mada kweli?