hivi mama mjamzito kuwa kiburi na dharau kwa mumewe ni natural au ni tabia yake?

Mleta mada, ni hali ya kawaida kwa wamama wajawazito wengi, mimi mwenyewe nakumbuka nilikuwa mkali sana, nilikuwa simpendi mwenye mimba yake, kila nikijitahidi nimpende ndo kwanza akifika tu kelele zinaanza, baada ya kujifungua ile hali ilibadilika nikarudi normal kabisa, so vumilia hadi ajifungue after 1 to 3 month nadhani atachange, kama hata badilika hapo kutakuwa na kitu
 
Mimba kubwa ndo inaurefu wa futi ngapi tena?
nimesoma chuo kikuu cha udaktari nchini India. prof aliyekuwa akinifundisha aliniambia mimba kuwa qualified kuitwa 'kubwa' inatakiwa kuwa imefikia urefu wa futi 245 na upana futi 0.5. any more question?
 
Duh. Huyo prof. wako mkaree. Hizo futi ni sawa na meta 74

nimesoma chuo kikuu cha udaktari nchini India. prof aliyekuwa akinifundisha aliniambia mimba kuwa qualified kuitwa 'kubwa' inatakiwa kuwa imefikia urefu wa futi 245 na upana futi 0.5. any more question?
 
mwanzoni hakuwa hivyo, ila sikuwa kuishi naye kwa muda mrefu akiwa hana mimba, sasa nashindwa kuelewa alificha makucha au ni kwa sababu ya mimba! Na mimba yenyewe ni kubwa. Mwenye exprience tafadhali ?
Hiyo ni tabia yake.Mimba haihusiani na hilo.
Na anaweza kutumia mimba kuzugia.
 
Back
Top Bottom