Hivi mama Anna Mungwira na ACT Wazalendo wapo kweli?

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,463
Jamani nimemiss kusikia habari zozote iwe ni mbaya au nzuri kuhusu ACT WAZALENDO na yule mama mgombea uraisi wao 2015. Au nao walikuja kama upepo tu
 
Huyu mama ni hazina kubwa kwa taifa, jaribu kumfuatilia maongezi yake ana maono makubwa sana juu ya hali ya mambo.
Sema tu aliingia kusiko kwa kuteam-up na wasaliti, mnakumbuka jinsi hali ilivyomwia ngumu pale Mbagala siku ya kufungua kampeini baada ya 'kampeini meneja' wake kuanza kuporomosha matusi ya nguoni kwa wapinzani wao.
 
Aaah nyumbu mbona amjiulizi yupo wapi mzee wa kujinyea hata kwenye msiba wa lissu kavunga aaaah unyumbu ni janga
 
Back
Top Bottom