5. Pesa.Ili tuendelee tunahitaji vitu vine
1. Elimu bora
2. Siasa safi/uongozi
3. Ardhi
4. Watu
Kama kiongozi sio mbunifu hata agawe pesa kila siku hawezi kuleta maendeleo zitaishia midomoni kama za tasaf.Tuache kuwa na mawazo mkando watu wanapesa mjini nyingi tu sema ni jinsi gani wewe kama kiongozi unaweza kuwashawish waweze kukusaidia ili utimize lengo lako katika kuwasaidia wananchi wako sabodo alikuwa anamwaga pesa chama kimoja hivi tulihoji hicho chama kinapate pesa hapa namkumbuka mzee wa msoga alisha wahi kusema huko duniani pesa zipo nyingi ni wewe ujue jinsi ya kuzichangamkia ili uzipate nashauri na meya wa jiji nae kama angekuwa kama makonda naona dar ingekuwa mbali
Shoga upo kaziniSi kama mgombea fulani wa urais
Yeye hata kuongea hawezi anaamini pesa ndiyo kila kitu
Matokeo yake watu wakala pesa
Urais wakamnyima
Huko kutafuta hizo pesa ni moja ya ubunifu toshaKama kiongozi sio mbunifu hata agawe pesa kila siku hawezi kuleta maendeleo zitaishia midomoni kama za tasaf.
HahahaaHuko kutafuta hizo pesa ni moja ya ubunifu tosha
Najua hakuna mtu wa cdm anayeweza SIFIA AU KUPONGEZA jitihada zaMakonda juu ya bodaboda coz ulikuwa mtaji mkubwa wa cdm kwa Dar ila kwa speed hii 2020 LAZIMA MAJIMBO yote Dar yarudi pia ili ndio tatizo letu kubwa Watanzania la kumpinga mtu mwenye nia ya dhati na mitazamo chanya ya kusaidia jamii,,sio kila ahadi mzazi anayotoa kwa mwanae ili afanye vizuri ama shuleni au popote uwa tunatekeleza kwa 100% so mwacheni kijana afanye kaziMakonda ameahidi kutoa mil. 10, kwa mwalimu, ambaye wanafunzi wake watafanya vizuri.
Makonda ameahidi kutoa zawadi ya gari aina ya Nissan Pick Up kwa Mwenyekiti wa Mtaa pamoja na pesa kwa wajumbe ambao mtaa wao utaongoza kwa usafi.
Makonda atangaza zawadi ya Milioni 1 kwa askari polisi atakayepambana na jambazi na kulishinda.
Makonda ameahidi kugawa pikipiki kwa bodaboda kwa marejesho ya sh. 25,000 kwa wiki.
Paul Makonda awapambanisha Christian Bella na Banana Zoro Kwa Mil 50 kila mmoja.
Makonda ameahidi kujenga makao makuu ya bakwata kwa bilioni 5 na milioni 80.
Makonda ameahidi mil. 100 kuwajengea viwanda machinga.
Makonda ameahidi pesa......
Mbali ya kuhoji anapozipata, hivi ndio kusema hana uwezo kabisa wa kushawishi wananchi kujiletea maendeleo yao hadi atumie pesa?
Najiuliza tu.