Hivi Makonda hana kipaji cha kushawishi hadi atumie pesa?

GSM ndo wanatoa Pesa hata jengo la Bakwata wao ndo walitoa hela haya bado yule jamaa alietobolewa macho akampa Bajaj na nyumba coz GSM ndo walikiwa wadhamini kipind cha uchaguz hii ndo Tanzania ukiwa leader jua kula na Business Men wa bongo
 
Najua hakuna mtu wa cdm anayeweza SIFIA AU KUPONGEZA jitihada zaMakonda juu ya bodaboda coz ulikuwa mtaji mkubwa wa cdm kwa Dar ila kwa speed hii 2020 LAZIMA MAJIMBO yote Dar yarudi pia ili ndio tatizo letu kubwa Watanzania la kumpinga mtu mwenye nia ya dhati na mitazamo chanya ya kusaidia jamii,,sio kila ahadi mzazi anayotoa kwa mwanae ili afanye vizuri ama shuleni au popote uwa tunatekeleza kwa 100% so mwacheni kijana afanye kazi
Watu welevu hupongeza au kukosoa kulingana na issue yenyewe.
 
Hivi huyu jamaa zile 100m alizoahidi kwa wamachinga pale k koo ni kutoka mfukoni mwake!, halmashauri!(if budgeted) au hazina!(if budgeted).

Km ni kutoka kwa baadhi ya wafanya biashara basi autangazie umma ili kuepusha mgongano wa kimaslahi kati yake na wafanyabiashara(mfanyabishara) hao/huyo.
 
Yeye kama mtumishi wa umma hawezi kuwa na fedha nyingi hivyo binafsi bila harufu ya ufisadi! Na sidhani kama fedha hizo anapata toka serikali kuu na wala toka H/shauri zinazounda mkoa wa Dar. Uwazi wa fedha husika zinakotoka na usafi wa fedha hizo ni muhimu sana! Kuna uwezekano mkubwa kukawa na swala la utakatishaji wa fedha hapa!!!
 
Back
Top Bottom