Hivi Makonda hana kipaji cha kushawishi hadi atumie pesa?

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
18,472
2,000
Makonda ameahidi kutoa mil. 10, kwa mwalimu, ambaye wanafunzi wake watafanya vizuri.

Makonda ameahidi kutoa zawadi ya gari aina ya Nissan Pick Up kwa Mwenyekiti wa Mtaa pamoja na pesa kwa wajumbe ambao mtaa wao utaongoza kwa usafi.

Makonda atangaza zawadi ya Milioni 1 kwa askari polisi atakayepambana na jambazi na kulishinda.

Makonda ameahidi kugawa pikipiki kwa bodaboda kwa marejesho ya sh. 25,000 kwa wiki.

Paul Makonda awapambanisha Christian Bella na Banana Zoro Kwa Mil 50 kila mmoja.

Makonda ameahidi kujenga makao makuu ya bakwata kwa bilioni 5 na milioni 80.

Makonda ameahidi mil. 100 kuwajengea viwanda machinga.

Makonda ameahidi pesa......

Mbali ya kuhoji anapozipata, hivi ndio kusema hana uwezo kabisa wa kushawishi wananchi kujiletea maendeleo yao hadi atumie pesa?

Najiuliza tu.
 
Massenberg

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
1,173
2,000
Ndiyo uone kuwa hawa watu ufisadi na njia za mkato ndiyo pumzi yao ya uhai.
Nadhani Mange Kimambi atakuwa anajua anazipataje hizo hela.
 
Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,736
2,000
Kamati ya maadili imchunguze na kumpeleka kwenye mahakama ya mafisadi kuna mambo mawili yule anayempongezakwamba mchapa kazi anampa hela toka hazina maana tunasikia anagawa mwenyewe au mafisadi home shopping centre wakwepa kodi aka GSMwanamumwagia mapesa waendelee kuibia nchi
 
Ndalama

JF-Expert Member
Nov 22, 2011
8,793
2,000
Kipaji ni karama huwezi pata kipaji kwa kutafuta kama vile kupata degree kwa kusoma
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
35,870
2,000
Ndio maana DC wake Polepole akawa anamdharau akiacha walambane midomo na yule wa aina yake Hapi. Style hiyo mwenye upeo atakudharau ila mwenye nanihii atakupongeza
 
thomaskitomari

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
466
250
fika kituo cha polisi kilicho karibu ujisalimishe kwa kumtukana mungu wa dsm mkuu, unasema hana convicing power bila pesa???
 
Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,707
2,000
Si kama mgombea fulani wa urais
Yeye hata kuongea hawezi anaamini pesa ndiyo kila kitu
Matokeo yake watu wakala pesa
Urais wakamnyima
 
Aaaaaaa

Member
Dec 9, 2016
39
95
Tuache kuwa na mawazo mkando watu wanapesa mjini nyingi tu sema ni jinsi gani wewe kama kiongozi unaweza kuwashawish waweze kukusaidia ili utimize lengo lako katika kuwasaidia wananchi wako sabodo alikuwa anamwaga pesa chama kimoja hivi tulihoji hicho chama kinapate pesa hapa namkumbuka mzee wa msoga alisha wahi kusema huko duniani pesa zipo nyingi ni wewe ujue jinsi ya kuzichangamkia ili uzipate nashauri na meya wa jiji nae kama angekuwa kama makonda naona dar ingekuwa mbali
 
Kama kiongozi sio mbunifu hata agawe pesa kila siku hawezi kuleta maendeleo zitaishia midomoni kama za tasaf.
 
Peter Simba

Senior Member
Nov 23, 2016
191
250
Makonda ameahidi kutoa mil. 10, kwa mwalimu, ambaye wanafunzi wake watafanya vizuri.

Makonda ameahidi kutoa zawadi ya gari aina ya Nissan Pick Up kwa Mwenyekiti wa Mtaa pamoja na pesa kwa wajumbe ambao mtaa wao utaongoza kwa usafi.

Makonda atangaza zawadi ya Milioni 1 kwa askari polisi atakayepambana na jambazi na kulishinda.

Makonda ameahidi kugawa pikipiki kwa bodaboda kwa marejesho ya sh. 25,000 kwa wiki.

Paul Makonda awapambanisha Christian Bella na Banana Zoro Kwa Mil 50 kila mmoja.

Makonda ameahidi kujenga makao makuu ya bakwata kwa bilioni 5 na milioni 80.

Makonda ameahidi mil. 100 kuwajengea viwanda machinga.

Makonda ameahidi pesa......

Mbali ya kuhoji anapozipata, hivi ndio kusema hana uwezo kabisa wa kushawishi wananchi kujiletea maendeleo yao hadi atumie pesa?

Najiuliza tu.
Najua hakuna mtu wa cdm anayeweza SIFIA AU KUPONGEZA jitihada zaMakonda juu ya bodaboda coz ulikuwa mtaji mkubwa wa cdm kwa Dar ila kwa speed hii 2020 LAZIMA MAJIMBO yote Dar yarudi pia ili ndio tatizo letu kubwa Watanzania la kumpinga mtu mwenye nia ya dhati na mitazamo chanya ya kusaidia jamii,,sio kila ahadi mzazi anayotoa kwa mwanae ili afanye vizuri ama shuleni au popote uwa tunatekeleza kwa 100% so mwacheni kijana afanye kazi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom