Hivi makamasi puani hutoka wapi?

Hivi makamasi puani hutoka wapi?

Nasal mucus (Kamasi) huzalishwa na mucosa gland ambazo zinapatikana ndani ya pua yako Mkuu na lengo au Kazi kubwa ya hizo kamasi ni kuzuia vimelezi vya magonjwa kama bacteria,fangasi na virusi ambao wanaweza kushambulia njia ya hewa, Pia kamasi hunasa vumbi na baadhi ya vijidudu vinavyoingia pamoja na hewa.

Vile vile kamasi zinarahisisha kupita kwa hewa kutokana na unyevunyevu (moisture ) wa hizo kamasi kwani hewa inasafiri vizuri kwenye unyevu.

NB: kamasi ni mchanganyiko wa vitu vingine, maji, mucin, white blood cells n.k
Natumaini nimekupatia mwanga kidogo mkuu
 
Wakuu poleni ma majukum kwa wale ambao tayari mnamajukum!! Nimekuwa nikijiuliza hili swali maana nakumbuka hapo zamani niliwahi kumuuliza mama hua makamasi yanatoka wapi akaniambia hua ni uchafu unatoka kwenye ubongo sasa mimi nikajiuliza kama ni kweli kuna wakati unakuwa nayo kwa mda hata wa mwezi mzima sasa huo ubongo si utayeyuka kama ni kweli yanatoka kwenye ubongo!!sory kwa uzi huu najua wapo niliowakaza!!naomba kujuzwa hua yanatokana na nini au yanatoka wapi!!!
 
Biblia inasema alifanya na mungu. Ndio maana yesu anaitwa mwana wa mungu.

NOTE: Hapo huu inabidi utofautishe kati ya mungu na Mungu pale unapojifarangua kwamba unajua kumbe hujui, unajifanya Much know know kumbe ni maji kwenye viweko, wanaojua wanabaki kuuona.....wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom