Hivi Magufuli anatuchukuliaje watanzania?

Hivi Magufuli anatuchukuliaje watanzania?

Jinsi anavyozidi kuongea ndo najua kumbe na yeye ni Hewa tu.Nadhani Magufuli anachokiongea huwa hafikirii au huwa hafanya maandalizi mapema ya hotuba zake.

Huenda anafanya hivyo vyote tatizo ni moja tu kama alivyosema Mwandosya uyu Pombe hakuwahi kushika hata uongozi wa tawi sasa awe kuja kiongozi wa taifa katika chama? Ukifuatilia maneno ya Mwandosya ndio yanaendelea kwa Pombe yeye anaufananisha uraisi na uwaziri wa barabara yaani hana picha kamili ya roles za raisi wa nchi hivyo hajui chochote na kudhani yeye akishakua raisi basi akilala na mke wake watakachoamua kitandani basi akiamka anataka kifanyike hicho. Huyu mtu hajui na wala hana idea na hiyo nafasi ya uraisi anaoutaka na ukitaka kulijua hili fuatilia vituko na maneno anayoyaongea mbele ya umati wa watu. Alafu ni mtu anaelazimisha sifa yaani anataka afanye kitu kwa sifa bila kutafakari kama anaharibu au la
 
Mtanzania kwa muda mrefu amechuķuliwa kama mtu asiyeelewa kitu ndio maana anaendelea kuahidiwa mambo ambayo hayatawezekana na mengine ya kijinga lakini bado anashangilia!
 
Ki ukweli mwaka huu hakuna mgombea asiye na mapungufu.......but kwa magufuli bora maan hayaathiri sana maisha ya watanzania ila Yule jamaa wa nywele nyeupe ni mwizi....
 
Magufuli ni mtu poa sana ila mwaka huu anagombea nafasi ambayo sio saizi yake.
 
Ukiishabikia ccm kuna mawili. Eidha unanufaika na mfumo dhalimu uliopo, au ni mbumbumbu wa kutupwa- usiefaa kwa lolote
 
Siasa zilikuwa moto sana kipindi hicho, ilikuwa struggle kubwa kuwapata watu.
 
Back
Top Bottom