Hivi maex huwa wanaachana?

First guy ndo nini bhana em uko ni ujinga tu hakunaga cha maana
 
First guy ndo nini bhana em uko ni ujinga tu hakunaga cha maana
Tumalizie kwa kusema, ni vibaya kuanzisha mahusiano na mtu kihasira, et kumkomoa mpenzi mliyeachana alaf badae unmsaliti et kisa ex kafanyaje sijui......ni upuuzi ulio tukuka
 
Wanaume huwa hatuachi wanawake,maamzi yanabaki kwa mwanamke sasa.
 
Mamama..eee walahi jamaa na hiyo laki yake si bora ata angebetia tu.
 
mapenzi ni kitu cha ajabu sana............................................................................................................
 
Sasa nafanyaje?namkwepaje huyu mtu?
My man is very serious about me
Akisikia haya sijui hata nitamjibu nini
Siku ukiacha pombe utapata mwanaume aliye tulia hata huyo mpya anakula tuu make my word
 
hiyo inaitwa KUKU wangu MANATI ya nini???
 
Kuna jamaa yangu mmoja mpaka leo anasema na kuamini kuwa mungu wa Wanawake amekufa! Sikuwa Namuelewa ila kwa uzi huu naanza kumuelewa. Ndio maana anawagegeda mademu anavyo taka! Na anawadharau sana anawaita kenge. Samahani lakini.....
Ni kuwa makini tu na bahati pia. Ukipata anayejitambua mthamini na kumjali, ukikutana na asiyejitambua tumia to the maximum.
 
Asemaje wakati namkwepa?
Namwogopa mwanaume wangu yes na nampenda,sitak ajue yaliyojiri
Najua maamuz yake
Ex naye anataka ajulikane
Pesa zimempa kiburi
Haya ndiyo matatizo yakuokota wanawake bar
 
wew ni malaya tu ila wanaachana vizur
kwa kawaida wanaume hua hatuachi
 
Acha umalaya wewe...
 
Roho ya uzinzi inayowatesa mabnti wengi wadiojitambua hata sasa. Na hii imepelekea kuvunja ndoa nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…