wewe unahadaika kiurahisi sana na pesa, na ungekuwa unampenda huyo mwanaume wako usingemsaliti hivyo, usituongopee hapaAsemaje wakati namkwepa?
Namwogopa mwanaume wangu yes na nampenda,sitak ajue yaliyojiri
Najua maamuz yake
Ex naye anataka ajulikane
Pesa zimempa kiburi
Good for youMimi nikashamalizana na mwananke yeyote bhasi huwaga sirudii
Umalaya tu!Kwahiyo nimekamatika ama?
You are kiding, mtu akitaka kukujua atakujua!!!!Yes...kwani wewe unanijua...au unamjua yeye au fake ID...na ndio maana JF iliweka fake ID ili tufunguke
No nililewa wine kiasiwewe unahadaika kiurahisi sana na pesa, na ungekuwa unampenda huyo mwanaume wako usingemsaliti hivyo, usituongopee hapa
Haaaaaahaaaaa hyu mtoto mshobokaji sana asee!No si nyege mshindo
Halafu yuko njema sana,kapata mavyeo kama yote
Na hataki kujificha
Sijui namkwepaje
Kiswahili rahisi alipigwa mande kwa kipindi maalum baaasKwa hiyo siku hiyo hiyo moja ulihudumia wanaume wawili yaani. I mean uli sex na wote wawili?
Just ask your heart,kwani maamuzi uyafanyayo hutoka moyoni mwako.Habari za jion wana jamii forum.
Basi siku ya ijumaa bwana nilitoka kazini mapema, niliaga naenda kufanya kazi za nje kumbe nina miadi ya mupenzi.
Imefika saa 6 mchana nikaondoka kazini,tukakutana sehemu,haooo hadi maeneo flani tukafanya yetu.By saa mbili usiku tukaamua tutoke tupite sehemu tupate supu kidogo kabla ya kuagana.
Tumefika pale tukawakuta na mashost zangu,tukala,story mbili tatu, then mista akanambia babe tuondoke.Nikamjibu mbona bado mapema,kama pameanza kuhappen vile; basi akaniachia laki 1 akanambia enjoy na wenzio ila usichelewe kurudi kwako.Nikamjibu ok.Akaondoka kwani alikuwa kachoka so he needed to rest.
Bwana weeh kumbe ile sehemu alikuwepo ex wangu,ila sikumwona.Sema yeye aliniona na mtu so akachil.Mashost zangu kumbe walijua yupo ila hawakunambia.Alivoona babe wangu kaondoka ,akahama meza akaja meza yetu.Lahaula nikabak mdomo wazi tu.Akajisogeza akakaa karibu nami,akaanza agiza vinywaji kwa fujo huku akinambia watakuja wengi sana ila yeye ndo mmiliki.Mashost wakawa wanasapot tu.Mwisho wa siku tuliondoka wote.
Tucut the long story short, hivi maex huwa hawaachani?Manake naona aibu hata kupokea simu za mupenzi since jmos.Niko very serious naye,sema naona kama na huyu ex kama anakuja kasi sana.Nahisi hata ataweza niharibia kwa my man.Nifanyeje niepuke huu msala?
Unafukua makaburi...pengine alikasirika akajibu hivyo...je kama amebadilika hayupo hivyo sasa...Donatila angalia majibu kama haya kutoka kwa mtu ambaye alisema hivi: Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's - JamiiForums cc: Mzigua90
Ok nashoboka kweliHaaaaaahaaaaa hyu mtoto mshobokaji sana asee!
Keshajua udhaifu wko ni noti atakula hadi tk(km bdo hajala) wakati mr wko unambania eti ni mchezo mchafu yaani inatia sana hasira ww unamtunza wenzio hko nje wanafukua tu!Hahahah sina bana
Sema ananifoc
Na hataki kushindwa kapata jeuri ya pesa
Heeh yashakuwa hayo?....mimi siku zote ninamwambia mama watt wangu kuwa,_mtu wa muhimu kwangu ni MTT/watt wangu..wewe ni rafiki anytime naweza kukutema.
...huu upuuzi wako ndio unaonipelekea kuwa na misimamo mikali kuhusu wanawake...., wewe utakuwa umeshamsoma huyo mwanaume wako wa sasa kuwa ni kilaza wa Udom ndio maana unamfanyia hayo maroroso na ma,x wako....MTU wa aina yangu usingethubu kamwe
Hyo usimkwepe kwa kua umesema ana hela ana vyeo mpe mama mpeeeeee afukueeeee mpaka kwann anyimwe na ana hela zke? tafadhal nakuomba samaki huliwa pande mbili mpeeeeee!Ok nashoboka kweli
Si wajua nimekulia kaskazin
Nipe mbinu basi nilimalize hili
Sasa hupokei simu kwa nini? Kwan ana jua? Mbona una taka umtengenezee was was ambao utafanya aanze kuku chunguza mwisho wa siku abaini maovu yakoNo ni ijumaa hii
Usimwache gal wako
Naona aibu hata kuongea na Mr
Hata akipiga simu sipokei
Hahahah JF banaUnafukua makaburi...pengine alikasirika akajibu hivyo...je kama amebadilika hayupo hivyo sasa...
Yaishe...turudi kwa mada
Wewe una mpenda uyo jamaaHamna sema ex niliwahi mpenda sana and he was my first
Mie nipo hivo sikasiriki kirahisi
Hahaha punguza hasilaKeshajua udhaifu wko ni noti atakula hadi tk(km bdo hajala) wakati mr wko unambania eti ni mchezo mchafu yaani inatia sana hasira ww unamtunza wenzio hko nje wanafukua tu!