PLATO MAGELE
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 203
- 54
- Thread starter
-
- #41
Really? There can only be a big bang if there is matter (or energy?).
Question: Where did the first matter and/or energy come from? Or rather how did the first matter and/or energy start?
Sent from my iPhone
Sayansi sio imani, it has facts proved by various experiments. Kwa hiyo chochote kinachohusu sayansi kimethibitishwa sio ujanja ujanja tu. How can you believe something which can not be proved? Hata hivyo hicho unachokiamini ilikuwa ni ujanja wa wazungu kufanikisha wizi wao wa malighafi ili waendeleze viwanda vyao na kufanya afrika kuwa soko la bidhaa zao. Historia hiyo hata shule ya Msingi inafundishwa, walianza explorers(wapelelezi), wakafuatia missionaries(wamishenari) baadaye traders. Kwa hiyo kundi la pili ndilo lililoacha imani unayoiamini ambayo malengo yake kwa kipindi hicho ni tofauti na sasa. Kwa hiyo Mungu aliyekuwa anatunyonya na kutupora vitu vetu kipindi hicho kupitia wamishenari kwa sasa ameshabadilika! Jamani, tafakari.
hivi unaweza kuthibitisha kuwa mungu hayupo?
Kweli kazi ipo na wala nisingependa kujadili hii mada maana imeshageuka na imekimbilia kwenye mambo ya imani sasa. Kwa upande wa minerals formation Bwaxx na Tindikali mko sawa.
Mungu hayupo ndiyo kwa sababu haonekani wala hakuna hata repoti ya kisayansi ambayo inaonesha kwamba pengine alikuwepo labda kama miaka mabilioni iliyopita. Kwa mfano kupitia sayansi tunajua kwamba ulimwengu(universe) umekuwepo tangu miaka bilioni 13-15 iliyopita na umri wa dunia ni miaka takriban bilioni 4.54 iliyopita.
where is your proof?
Hiyo harufu ikoje? Je, waweza kukithibitisha unachokiamini wewe? Unauhakika gani na huyo Mungu waliomleta wazungu wakati wa ukoloni ndiye Mungu wa kweli? Najua umeaminishwa bila proof yoyote. Na huyo Mungu unayeamini umeletewa na wazungu wakati wa ukoloni ili waweze kuchuma mali za waafrika kiulaini. Maana wamishenari walikuwa agent wa ukoloni waliweza kuhubiri kutokuwachukia(kuwa na upendo kwa kila mtu) ili wachukue malighafi bila kusumbuliwa na mtu, mkikaririshwa kuwa "sisi sote ni ndugu katika Bwana" kumbe wizi mtupu. Kila kitu ni cha kusadikika tu, no evidence, no what...
where is your proof?
Umekuwa mwepesi wa kusahau hata hiyo elimu inayokupa kiburi cha kuropoka ropoka JF ililetwa na wakoloni kwa malengo yale yale ya kupata vibarua. au mwenzetu ulienda mars kukariri hayo uliyo yakariri ?
Hana ha hatokuwa nayo sasa na milele yote atabaki Ooog sayansi sayansi, aniambie wapi kwenye sayansi wamedocument kwamba PLATO MAGELE yupo ? 'kupitia syansi tunajua kwamba ulmwengu upo miaka 13-15' hii ni andiko la sayansi lililopo sasa na sio kwamba ni absolute truth kwamba huo ndiyo umri wa ulimwengu (hawa jamaa sijui hutukia nini kufikiri)
Actually, what initiated the creation of the universe, or what came before the Big bang or even what lies outside the universe is unknown. We know that, after its expansion from a singularity, the universe cooled sufficiently to allow energy to be converted into various subatomic particles, including protons, neutrons and electrons. Protons and neutrons combined (fused) to form the atomic nuclei only a few minutes after the Big bang.
Fofader: According to the trend of your questions on this matter it seems you have a certain answer, yes, give it.
PLATO MAGELE; I can see among the Steady State, Big bang and Pulsating theories you are a believer of the big bang. Being the most popular? I view you as a believer because there are many "I dont knows" in your explanations. Sometimes because scientists are human beings they get entangled in their viewpoints and stray away from facts whether known or unknown. Be careful when you use the word "We know......"
Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2
Kwa nini unaulizia madini??
Kwa nini sio udongo...au mawe...!
Udongo (kifusi) na mawe ni madini pia, in case kama ulikuwa hujui.
Hiyo fizikia/jografia aliyoielezea Bwaxxlo hapo juu ndio namna ambavyo madini hutengenezwa. Vitu vya msingi katika kutengenezwa kwa madini ni pressure, joto na muda. Hivi ndio huamua aina ya madini yatakayozalishwa. Mambo ya SIAL, SIMA, MANTLE, CORE n.k. Ni jografia ya A level hii!
Hakuna cha Mungu, ni imani tu wa watu ambao si wasomi wa kisayansi ndio wanataja mungu. (Feebly minded)