Siku ambayo Pole Pole alitwambia kuna trillion 4 ambayo ilikuja kama grant ya COVID relief lakini ikaliwa na wahuni, hapo ndio niliona kweli taifa hili kuna watu hawana huruma hata kidogo. Na ndio hawa hawa ambao wanatwambia kila siku eti tuilinde amani tuilinde amani.. hili wao waendelee kuitafuna nchi kadri wawezavyo.Pesa nyingi zimeishia mikononi mwa Wahuni.