Hivi mabilionea wa Ulaya wana siri gani?

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
3,977
Reaction score
5,352
Trump, Obama, Mark Zucky na wengineo. Hawa jamaa wana siri gani? Wanaoa wake wa aina gani? Je, ndio kusema ukiwa bilionea usioe mke mwenye tabia za 'kiswahili' na asiye na elimu? Unatakiwa uoe mke msomi na ambitious? Must?

Mbona kwa matajiri wa Ulaya hatusikii mambo kama ya nchi Fulani ambapo wanawake baadhi wanawaua waume zao wabaki na Mali? Kwa nini asiuawe Trump? Zucky? Biden? Gates(japo wameachana)?

Mabilionea wa Ulaya wana siri gani katika kuoa????
 
Unamzingumziaje? Microsoft
Bill Gates and Melinda gates
 
Unadhan mabilionea wa ulaya na bongo wanafanana akili [emoji23]
Milionea wa bongo anaona fahari kulipia bill marafiki na kushinda nao ,marafiki wanajua mali zake kuliko mkewe
Neno hilo!
 
Trump, Obama, Mark Zucky na wengineo. Hawa jamaa wana siri gani? Wanaoa wake wa aina gani? Je, ndio kusema ukiwa bilionea usioe mke mwenye tabia za 'kiswahili' na asiye na elimu? Unatakiwa uoe mke msomi na ambitious? Must?

Mbona kwa matajiri wa Ulaya hatusikii mambo kama ya nchi Fulani ambapo wanawake baadhi wanawaua waume zao wabaki na Mali? Kwa nini asiuawe Trump? Zucky? Biden? Gates(japo wameachana)?

Mabilionea wa Ulaya wana siri gani katika kuoa????
Hao mbona wote ni wa Marekani na sio ulaya?
 
Sababu kubwa ni kuwa wamelelewa katika mfumo ambao mambo yapo strait,haki ipo kwa MTU yoyote.Mihimili yote ya Serikali ipo huru hivyo ukifanya kitendo kama hicho lazima utajulikana tu na mwisho was Siku ataishia Gerezani na Mali zitakazofanya amue Mume wake anaweza asizifaidi hata chembe.

Njia pekee wanayo tumia Wanawake wa Ulaya kupata mali za Wame zao ni kupitia divorce.
 
Tofauti ya tajiri wa Kiafrika au mweusi awe kutoka au kazilwa nchi yoyote na yule tajiri wa rangi nyeupe a.k.a wazungu ni ULIMBUKENI
IMG-20211217-WA0023.jpg
 
Wapo matajiri ulaya hawadate kina Melinda, wanadeal na the young hot chicks only, kama yule mmiliki wa Twitter.
 
Trump, Obama, Mark Zucky na wengineo. Hawa jamaa wana siri gani? Wanaoa wake wa aina gani? Je, ndio kusema ukiwa bilionea usioe mke mwenye tabia za 'kiswahili' na asiye na elimu? Unatakiwa uoe mke msomi na ambitious? Must?

Mbona kwa matajiri wa Ulaya hatusikii mambo kama ya nchi Fulani ambapo wanawake baadhi wanawaua waume zao wabaki na Mali? Kwa nini asiuawe Trump? Zucky? Biden? Gates(japo wameachana)?

Mabilionea wa Ulaya wana siri gani katika kuoa????
Yaan lakujifunza kutoka kwa hao jamaa umeona liwe kuhusu wanawake zao..daah

Nchi yangu hii Tz ina tatzo gan walah
 
Mleta thread sijui ulikuwa unawaza non..

unajua kwanini Trump aliachana na mke wake Wa kwanza?

Elon Musk ana mke? Kwann hana make?

acha kuidharau ngozi yako.. Halafu mali nyingi wanamiliki kwa njia za hisa
 
Unadhan mabilionea wa ulaya na bongo wanafanana akili [emoji23]
Milionea wa bongo anaona fahari kulipia bill marafiki na kushinda nao ,marafiki wanajua mali zake kuliko mkewe

Sasa mkuu kama huyo mke naye hana akili,unafanyaje sasa?
 
Trump, Obama, Mark Zucky na wengineo. Hawa jamaa wana siri gani? Wanaoa wake wa aina gani? Je, ndio kusema ukiwa bilionea usioe mke mwenye tabia za 'kiswahili' na asiye na elimu? Unatakiwa uoe mke msomi na ambitious? Must?

Mbona kwa matajiri wa Ulaya hatusikii mambo kama ya nchi Fulani ambapo wanawake baadhi wanawaua waume zao wabaki na Mali? Kwa nini asiuawe Trump? Zucky? Biden? Gates(japo wameachana)?

Mabilionea wa Ulaya wana siri gani katika kuoa????
Acha kufananisha Afrika na mabara mengine...
 
Nimeshaliongelea, huko mbali. Unamzungumziaje Trump and Mark Zucky?
Trump ameshaoa na kuacha Mara ngapi?
Vipi kuhusu Elon Musk?.
Kwani hujui Bill Gates alishaachana na mkewe?
Mambo ya waafrika usifananishe na wazungu
 
Tofauti ya tajiri wa Kiafrika au mweusi awe kutoka au kazilwa nchi yoyote na yule tajiri wa rangi nyeupe a.k.a wazungu ni ULIMBUKENIView attachment 2047913
Usimuweke Jay Z kwenye stereotypes za watu weusi wenye ulimbukeni ....fuatilia vizuri ndio utajua business inayofanyika hapo, kampuni iliyotengeneza hiyo saa ndio kampuni iliyomlipa kutangaza vito vya thamani mwezi wa nane mwaka huu...Jay Z ni moja kati ya rappers wachache amabao wameshavuka hatua ya ulimbukeni wa pesa
SmartSelect_20211217-234437_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom