Kila kitu kinamuda wake na wakati wakeKweli ndio maana CCM wanatawala kirahisi hii nchi... Yaani mtu badala ya kuuliza ni biashara gani au wajikite sector gani ili waweze kupata maendeleo kwa ajili yao na vizazi vyao mtu anawaza jinsi ya kumsuarez mwenzie
Kweli ndio maana CCM wanatawala kirahisi hii nchi... Yaani mtu badala ya kuuliza ni biashara gani au wajikite sector gani ili waweze kupata maendeleo kwa ajili yao na vizazi vyao mtu anawaza jinsi ya kumsuarez mwenzie
Kila kitu kinamuda wake na wakati wake
Nenda maktaba chukua kamusi angalie maana ya muda na wakati nafikiri nitakuwa nimekusaidia sana
id yako inajieleza kweli wewe kukumdogo siamini kama haya maneno wakati na muda yana tofauti na hata kama tofauti ipo sio kwenye sentensi uliyoandika wewe sasa huna haja ya kujifanya kuku mkubwa kubali umechemka kwani kukosea kuna ubaya gani
kama huwezi tambua tofauti ya wakati na mda basi unamatatizo ndo mana nikakupa ufumbuzi wa matatizo
Huyu mchuchu wako mweusi km mkaa alafu unataka apate love bite
Mkuu 1st AID mistari tu na ukomgww nao unahusika maana mm ni senior bachelor kweli kweli nina uzoefu wamda mrefu..ila ntajipanga nikupe mbinu lkn kubwa ni kuwaheshimu hawa watu ukianzia hapo mengine unajazia..Sikia mkuu ebu nipe mbinu we ulifanyaje? sio unicheke bila msaada na ujue mi mwanaume mwenzio...afu ujue mi ndio ntakuzika afu haya mambo ni kupita tu, afu unajua kani PM makubwa kukuhusu..afu afu afu mengine nimesahau
Umbea kumbe nayo kazi dah... mamaafacebook
Mkuu 1st AID mistari tu na ukomgww nao unahusika maana mm ni senior bachelor kweli kweli nina uzoefu wamda mrefu..ila ntajipanga nikupe mbinu lkn kubwa ni kuwaheshimu hawa watu ukianzia hapo mengine unajazia..
Mkuu 1st AID mistari tu na ukomgww nao unahusika maana mm ni senior bachelor kweli kweli nina uzoefu wamda mrefu..ila ntajipanga nikupe mbinu lkn kubwa ni kuwaheshimu hawa watu ukianzia hapo mengine unajazia..
HAhahahaha kama we ni senior kwenye hilo basi we nomaaaaah
Ahhhha naona umepigwa material hapo juu ndo nachompendea my love wangu hana uchoyo kabisa
Me penda we apo sr bachelor
kweli umedata nae ndio maana niona nikae kando maana hata huo uzoefu alionipa ndio nao uishi nimeona aah basi tu asijisikie vibaya
Inategemea rangi na ngozi ya mpenzi wako, kama ana ngozi nyeusi sana, kavu na ngumu, hawezi kupata hayo makitu.