Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,408
- 2,266
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewashangaza Watanzania kuhoji uwezo wa Mungu katika uponyaji wa janga la corona nchini.
Kauli hiyo ya Lissu pia imeenda mbali zaidi alipowashangaa Waislamu na Wakristo kwenda kanisani na misikitini kuombea corona huku akiwaita ni wajinga.
Lissu ametoa kauli hizo tata zinazozidi kutoa tafakari ya afya yake ya akili akihojiwa na Radio Maisha ambapo amesema Mungu kwamba hawezi kuponya magonjwa na hana muda wa kuhangaika na wajinga.
“Kama alivyosema rais mwenyewe hii kitu dawa yake ni kwenda msikitini na makanisani kuomba Mungu, katika karne ya 21 rais anayesema ana PHD katika Kemia kuamini kwenye mambo kwamba unaweza kutibu ugonjwa kwa maombi ya Mungu,” amesema Lissu.
Mtangazaji wa kipindi hicho alimuuliza Lissu; “Kwa hiyo hujapendezwa kabisa kwa namna rais anavyoshughulika na hii ishu ya covid19 pale nchini?”
Lissu akajibu: “Mungu ana mambo mengi sana hana muda wa kuhangaika na wajinga.”
Kauli hii ya Lissu inaacha maswali kwamba je; ana dini? Kama kweli angekuwa na dini basi angekuwa na hofu ya Mungu.
Lissu anasahau kama ni Mungu amemponya na kumfikisha hapo alipo leo badala yake alianza kutukana watu kama vile haitoshi amehamia kwa muumba na watumishi wa wake.
View attachment 1611348
Hapa tupo wote. Huu ndio ukweli.Sijasema hivyo.
Mafundisho yetu ni sala na kazi. Tukiumwa tunaenda hospitali huku tukiamini kuwa Mungu ndiye anayeponya wao madaktari wanatibu tu, pia ni Mungu aliyebariki na kuwezesha dawa na maarifa ya kitabibu kugunduliwa.
Ccm ndio imeandika hadi barua kwenye baloziTangu Lisu aweke nguvu katika kuwapambania wapenzi wa jinsia mmoja nikajua Lisu anashida kichwani Ila sikutegemea kwamba anaweza kukufuru kwa kiwango hicho.
Wahisani wa Tundu LissuMakonda alianzisha vita vizuri sana dhidi ya mashoga na yupo CCM. Ni nani aliyemzuia?
Vyovyote utakavyoamini lakini wote kuanzia Lissu, Zitto, wafuasi wao na watanzania kwa ujumla tunakiri aidha hadharani au kimya kimya kuwa corona haipo Tanzania na mwenye kustahili credit ni Rais Magufuli kwa namna alivyotuongoza kuushinda ugonjwa huu. Kama angefuata ushauri na kelele za kina Zitto na Mbowe, bunge la bajeti lisingefanyika, uchaguzi mkuu leo hii tusingekuwa tunaufanya.Hapa tupo wote. Huu ndio ukweli.
Wakati gonjwa la corona lilivotikisa sawa tuliomba safi kabisa. Tahadhari nayo mfano kuvaa mask ni jambo la muhimu ma doctor walishauri. Sema imefikia kipindi ukivaa mask mkulu akiwepo kwenye huo mkutano unaonekana kituko.
Lazima mtu mwenye akili akubali kua Corona si gonjwa la kiafrika. Magonjwa yako maeneo kwa maeneo. Mfano tropical countries yellow fever au malaria.
Kwa muktadhaa huu huu tukubaliane corona sio kwa waafrika. Km ni kweli very few.
Kusema tumeomba na korona ikatoweka ni ujinga. Ni kama mzungu wa England aseme malaria England hamna coz Mungu wetu tulimuomba akatusikiliza. Nyie waafrika Mungu hakuwasikiliza upande wa malaria.
Kwa maana nyingine hem tuitishe kuomba na kufunga mwezi mzima malaria iishe Tanzanian kama kweli kuomba tu ugonjwa unaondoka.
Maana yake nn, ni kua hili gonjwa halijafanyiwa research ya kutosha. Hivyo wataalam wangepata fursa hiyo huenda wangetupa majibu sahihi why not Africa.
Achana na wakenya sijui lockdown hiyo ilikua geresha watu wapige pesa.
Magufuli nnachomkubali ni ule uthubutu wake wa kujaribu njia ya kwamba kwa sisi huu sio ugonjwa wetu pigeni kazi. This magufuli guy I'm telling you was gambling. And his gambling paid big time. Yaani ikatokea kwamba ku gamble kwake ikawa kwanza ugonjwa sio wetu, kitu ambacho amewapiga bao wana science.
Kama huu ugonjwa ulikua ni wa kwetu mbona tungeokotana vibudu.
Tusitaniane ugonjwa haujaondolewa kwa kuomba. Ni kua hautuhusu kutoka na labda geographical location yetu.
Wao walimlilia Mungu kama sisi tulivyofanya?Yes yuko sahihi kabisa
Kilichotumika ni uponywaji wa kisaikologia
Mungu huyu huyu awauwe Mpaka taifa ambalo alilitamka kwenye kitabu chake kuwa ni taifa teule Israel kwa Korona then Tanzania iachwe?
Mpaka Ibada ya hija maca ilisitishwa because ya korona
Kwa ushahidi upi ulionao kuwa Magufuli alimwaga damu Kama sio propaganda tu za mitandaoni?Magufuli ni mkristo ,Mkatoliki kanisani anaenda kufanya ni nini na damu za watu aliso mwaga?
Wao walimlilia Mungu kama sisi tulivyofanya?
Kama ni msomaji wa biblia utakuwa unajua kuwa hao taifa teule mara nyingi walipomkosea aliwaadhibu vikali.
Approach ya mwanzo gonjwa lilipokuwa linaingia ndiyo ina matter, wao na nchi zingine walichagua kupambana wenyewe sisi tulichagua kumtegemea Mungu na matokeo unayaona dunia nzima.
Akili yako bado ndogo sana kuelewa mambo mapana kama haya.Upo hapa kuhalalisha mwanadamu kupigwa risasi bila kosa?
Yaani upo hapa kufurahia Lissu kupigwa risasi?
Fvck you big time!
Hakuna sehemu ya dunia uchaguzi umeahirishwa sababu ya korona. Marekani inaongoza kwa korona lkn uchaguzi kama kawa.Vyovyote utakavyoamini lakini wote kuanzia Lissu, Zitto, wafuasi wao na watanzania kwa ujumla tunakiri aidha hadharani au kimya kimya kuwa corona haipo Tanzania na mwenye kustahili credit ni Rais Magufuli kwa namna alivyotuongoza kuushinda ugonjwa huu. Kama angefuata ushauri na kelele za kina Zitto na Mbowe, bunge la bajeti lisingefanyika, uchaguzi mkuu leo hii tusingekuwa tunaufanya.
Kenya wanahangaika na huu ugonjwa hadi sasa.
Hongera sana Magufuli kwa uongozi wako thabiti. Kura zote tumpe Msgufuli na CCM ili atufanyie makubwa zaidi.
Kwani sisi hatukujui katani, hatukujui wilayani, kwa akili ndogo tu ulipaswa ujue kuwa wilayani asilimia kubwa ndiko Kuna mizizi ya upinzani, wakienda huko Ndio zoezi la wizi litakuwa gumu zaidi, na Kama hujui kura haziibwi wilayani, wanapachika hi ukohuko kwenye vituo vya uchochoroniKURA ZA UBUNGE NA URAISI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA JIMBONI, HAZITAHESABIWA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA
KURA ZA UDIWANI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA MAKAO MAKUU YA KATA (KATANI)
WAPINZANI HAMPATI KITU.
KUWENI MAKINI
Mbona hata wewe huko OKEY na una something wrong within uLissu is not okey, something wrong with him
Mwambie Lissu na wanachadema wanaojazana katika mikitano wawe makini sio mimi ambaye ninafahamu corona haipo.Acha ukilaza ndugu yangu
Kovid ipo, kuwa Makini
Mwambie Lissu na wanachadema wanaojazana katika mikitano wawe makini sio mimi ambaye ninafahamu corona haipo.
Marekani kura wanapigaje? Hujasikia kura za mapema zimepigwa tena kwa posta?Hakuna sehemu ya dunia uchaguzi umeahirishwa sababu ya korona. Marekani inaongoza kwa korona lkn uchaguzi kama kawa.
Kenya hamna korona. Ni usanii tu unafanyika kula pesa za WHO.
Hoja zako zingine ziko kwenye post yangu uliocopy.
Hebu tuoneshe clip moja aliyowapambania mashoga.Tangu Lisu aweke nguvu katika kuwapambania wapenzi wa jinsia mmoja nikajua Lisu anashida kichwani Ila sikutegemea kwamba anaweza kukufuru kwa kiwango hicho.